Tatizo la hawa ICC ni kuwa wakati wakitafakari wafanye nini, wahalifu wao wanafukia mashimo kwa kuwaondoa mashahidi, mmoja baada ya mwingine kwa njia mbalimbali kama ilivyofanyika Kenya.hapana hawakwenda haraka; kuna condition moja muhimu sana na binafsi naona Tanzania inayo. Vyombo vya ndani kushindwa au kutotaka kuchunguza uhalifu unaodaiwa.
Mashahidi wote wakishauliwa au kuhongwa; kesi inakuwa haina nguvu tena.
Haki ni lazima tuitafute sisi wenyewe hapahapa nyumbani. Matarajio ya hao ICC yabaki kama wataonyesha roho ya kusimamia haki hiyo watakapo kuwa tayari kwa wakati wao.
Sisi nasi tuendelee na wakati wetu.