Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,911
- 183,311
Kwahiyo wewe unatakaje yaani? Watu wafungwe midomo?Lkn mwisho wa siku tutapoteza wote kama unachukulia Libya au Iraki kama mfano hivyo hata hicho unachotaka kukipata hautakipata lkn ukizungumza na kutambua na kuheshimu Mamlaka ikiyopo uwezekano wa kufika mbali ni mkubwa!
Haya mambo hayataki hasira Serikali na Raisi wa JMTZ ndo walioshika mpini na huo ndio ukweli!
Hakuna mtu amepata negative press kama Mugabe lkn hao akina Tsvangirai wako leo hii? Wazungu wenyewe wameshawapotezea ...