CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
- #21
charminglady mzima weye?? lol, sio na hiii kweli?? mpigie bana
me mzima mpnz, sa nkimpigia naanza kumwambia nini?
Last edited by a moderator:
charminglady mzima weye?? lol, sio na hiii kweli?? mpigie bana
Angalia asije akawa popobawa.....
![]()
popobawa huwa hana shda ya kupga cm ye shda yake ni pochi manyoya tu
Hahahaha shost umenchekesha, mke wa 5 au 35, maana jamaa kwake kipaji.. Mwaya nipo. Namsubiri charminglady atupe report akishaenda hewani!
yeuwii i i i,ile namba haipatikani tena.
aashii yaani wakati tunaongea kumbe ulikuwa umeshalala?nashangaa hv sasa ni mimi bwana
Iweke namba hapa inawezekana ni mwana jf ndo kakubip huwezi jua
Duh sheikh wetu angekua hai sahizi angeshatu tafsiria ndoto yako..
Mpigie !!!!!!!
mambo wana chitchat, leo nimeota ndoto nzur kwel. kwamba kuna mtu kanipigia kwa namba ngeni (namba ambayo sijaisave kwny cm yangu) nikamuuliza wewe ni nani akaishia kunizingua tu mpaka nikashtuka toka usingzin bila kumfahamu ni nani. cha ajabu hadi namba naikumbuka kichwani. cjui nimpigie ili nimfahamu, au ningekuwa na uwezo ningelala tena afu niendeleze ndoto ile ili nimfahamu ni nani!
akupate aringe?? haiwezekani wallah! atajisifu sana kukupata! lol haya my dear nipo, nimetoka kulima hoi taabani, khaaaaaa!Hahahaha shost umenchekesha, mke wa 5 au 35, maana jamaa kwake kipaji.. Mwaya nipo. Namsubiri charminglady atupe report akishaenda hewani!
mwambie ndotoni tu umemuona vile umemuanzishia uzi jei efu, ukimuona live je??me mzima mpnz, sa nkimpigia naanza kumwambia nini?
Embu nipe namba yake nimpigie halafu ntakwambia ni nani
mwambie ndotoni tu umemuona vile umemuanzishia uzi jei efu, ukimuona live je??
yeuwii i i i,ile namba haipatikani tena.