i wish ningekuwa na uwezo. . .

i wish ningekuwa na uwezo. . .

jini mahaba huyo shost atakupa kila kitu hadi mkoko kwa shariti moja tu kipochi chake usikitoe kwa yeyote,kazi kwako

hakuna cha jini mahaha wala jini mahabat, ashindwe kwa jina la Yesu. . . tena akija atachomwa na damu ya Yesu. cheyeiya Mungu wewe!
 
Mwenyewe nishawahi kuota ndoto kama hiyo na nikamcol asubuhi yake,kumbe bonge la bwana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom