Wengi wa aina yako hutokea Kilimanjaro na wakidoda huwa wanawaandama vijana wadogo. Utakuta jimama lipo 60 years linabebika na serengeti 17 years ati mapenzi hayana umri. Kumbe lilikuwa linanyodo likiwa below 30 na kukosa wa kumuoa uzeeni linatuharibia watoto. JitafakariHapana
Za usiku.
Naomba nisiwachoshe sana,kuna kaka tuseme nilikuwa kwenye mahusiano nae kama kuelekea miezi 3 i think coz am not sure na miezi precisely ni mingapi.Kiukweli ninampenda i can't deny my feeelings kwake though kuna muda uwa namjibu vile navosijikia mimi kumjibu cha kusikitisha i can say ni kwamba huyu kaka haniamini kabisa ananiona mimi ni mtu wa mambo mengi na muongo hata nikimuambia ukweli vipi hawezi kuniamini na mimi pia namuona ni mtu wa kupenda wasichana ingawa sijawahi kumuona nao ila hisia zangu zinaniambia hivo.
Mpaka nakuja kuandika hapa ni kwamba leo nimegombana nae tena kiasi cha kufikia tumeamua kuachana mbaya zaidi tunatumiana texts ambazo hazifurahishi na mimi imefikia stage nimeanza kumtumia message ambazo kwa kweli nikiziangalia naumia mwenyewe maana namjibu vibaya sana na kumdanganya zaidi ili anione sijali hata nilivoachana nae na yeye ananijibu vibaya pia kuonesha kama hanijali na hata tukiachana hataumia.
Nilichogundua ni kwamba nampenda ila sitaweza kumwambia hata iweje maana sipendi kujishusha hasa kwa mwanaume anione mimi nampenda sana mwisho wa siku aje kuniumiza ila nikifikiria kwa upande wa pili nawaza nitakuwa na wanaume wangapi maana kila mtu akinikera kidogo tu ninaamua kumuacha,nimejikuta hata nikiachana na mtu uwa sijutii kabisa nachukulia kawaida
Naombeni msaada wenu katika hili jambo
Duh hongera sana sana inaonyesha una ka-list kazuri tuupande wa pili nawaza nitakuwa na wanaume wangapi maana kila mtu akinikera kidogo tu ninaamua kumuacha,nimejikuta hata nikiachana na mtu uwa sijutii kabisa nachukulia kawaida
Kuna kila dalili ukaja kuolewa na ben ten ukifikisha miaka 45 single mom... maana kwa mwendo huo hutaolewa else utafute mwanaume wa kikuria yeye ndo anaweza kukutulizaZa usiku.
Naomba nisiwachoshe sana,kuna kaka tuseme nilikuwa kwenye mahusiano nae kama kuelekea miezi 3 i think coz am not sure na miezi precisely ni mingapi.Kiukweli ninampenda i can't deny my feeelings kwake though kuna muda uwa namjibu vile navosijikia mimi kumjibu cha kusikitisha i can say ni kwamba huyu kaka haniamini kabisa ananiona mimi ni mtu wa mambo mengi na muongo hata nikimuambia ukweli vipi hawezi kuniamini na mimi pia namuona ni mtu wa kupenda wasichana ingawa sijawahi kumuona nao ila hisia zangu zinaniambia hivo.
Mpaka nakuja kuandika hapa ni kwamba leo nimegombana nae tena kiasi cha kufikia tumeamua kuachana mbaya zaidi tunatumiana texts ambazo hazifurahishi na mimi imefikia stage nimeanza kumtumia message ambazo kwa kweli nikiziangalia naumia mwenyewe maana namjibu vibaya sana na kumdanganya zaidi ili anione sijali hata nilivoachana nae na yeye ananijibu vibaya pia kuonesha kama hanijali na hata tukiachana hataumia.
Nilichogundua ni kwamba nampenda ila sitaweza kumwambia hata iweje maana sipendi kujishusha hasa kwa mwanaume anione mimi nampenda sana mwisho wa siku aje kuniumiza ila nikifikiria kwa upande wa pili nawaza nitakuwa na wanaume wangapi maana kila mtu akinikera kidogo tu ninaamua kumuacha,nimejikuta hata nikiachana na mtu uwa sijutii kabisa nachukulia kawaida
Naombeni msaada wenu katika hili jambo
Kama hatoki k'njaro anatoka Arusha..Wengi wa aina yako hutokea Kilimanjaro na wakidoda huwa wanawaandama vijana wadogo. Utakuta jimama lipo 60 years linabebika na serengeti 17 years ati mapenzi hayana umri. Kumbe lilikuwa linanyodo likiwa below 30 na kukosa wa kumuoa uzeeni linatuharibia watoto. Jitafakari
ndiyo maana vitoto vya under eighteen ni pasua kichwa hata kwenye kupapuchiana...Thrice
Ha ha ha ha ha haaaaa. Duh!!!! Umenifanya asubuhi yangu iwe nzuri,kwanini unashindwa kupata uhalisia wangu?Yaan we kiumbe natamani sana nikuone uso kwa uso maana kila nikikutafakari nashindwa kuupata uhalisia wako.
Ila Asante kwa watu kama nyie.
Za usiku.
Naomba nisiwachoshe sana,kuna kaka tuseme nilikuwa kwenye mahusiano nae kama kuelekea miezi 3 i think coz am not sure na miezi precisely ni mingapi.Kiukweli ninampenda i can't deny my feeelings kwake though kuna muda uwa namjibu vile navosijikia mimi kumjibu cha kusikitisha i can say ni kwamba huyu kaka haniamini kabisa ananiona mimi ni mtu wa mambo mengi na muongo hata nikimuambia ukweli vipi hawezi kuniamini na mimi pia namuona ni mtu wa kupenda wasichana ingawa sijawahi kumuona nao ila hisia zangu zinaniambia hivo.
Nilichogundua ni kwamba nampenda ila sitaweza kumwambia hata iweje maana sipendi kujishusha hasa kwa
Naombeni msaada wenu katika hili jambo
mwanaume anione mimi nampenda sana mwisho wa siku aje kuniumiza ila nikifikiria kwa upande wa pili nawaza nitakuwa na wanaume wangapi maana kila mtu akinikera kidogo tu ninaamua kumuacha,nimejikuta hata nikiachana na mtu uwa sijutii kabisa nachukulia kawaida
Umewazambali sana mkuu wangu!! Kuna uwezekano ukawa sahihi 98.99%!!Utakuwa mzuri bila shaka
Ndo athari za kuwa na mahusiano na mabinti wazuri huwa hawadumu kwenye mahusiano yao na hata ndoa kisa " sipendi kujishusha na muda wowote akiachika anapata bwana mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Too much ego.
Msaada badilika.
Hapana sio wadada tu.Wanaume nanyi mnaweza kukosea wala hamwombi msamaha wala hamjishushi mara nyingi mno.Ego ni tatizo la wadada wengi sana na sio huyu mtoa mada tu, aisee kwenye swala LA mahusiano nyie wanawake mmetuzidi ego Ms.Lincoln Naughty girl
Thrice