Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,031
- 2,667
Kabisa ukijumlisha hapo na Wakorea mambo ndo yanaharibika kabisa.Mapenzi ya Angelo na ynah,wafilipino wanatuongopea na kutuingiza chaka sana. wao mwisho wa siku wanarudiana,bongo mwisho wa siku unasikia nderemo na vifijo.
Waache waoane.
NitajitahidiKwanza umeshatoa suluhu halafu unataka tukushauri!!?
Me nataka nikushauri,ujiepushe na chuki kwa sababu athari zake ni kubwa kuliko unavyodhani.
Kwa mfano hapa unajenga chuki ya nje kumuonyesha jamaa kuwa huwezi kushuka chini..lkn hiyo chuki ya nje uliyoijenga inakuumiza mwenyewe...jitahidi kutafuta amani ktk kila jambo ili kujipa furaha...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatoka kilimanjaro?Za usiku.
Naomba nisiwachoshe sana,kuna kaka tuseme nilikuwa kwenye mahusiano nae kama kuelekea miezi 3 i think coz am not sure na miezi precisely ni mingapi.Kiukweli ninampenda i can't deny my feeelings kwake though kuna muda uwa namjibu vile navosijikia mimi kumjibu cha kusikitisha i can say ni kwamba huyu kaka haniamini kabisa ananiona mimi ni mtu wa mambo mengi na muongo hata nikimuambia ukweli vipi hawezi kuniamini na mimi pia namuona ni mtu wa kupenda wasichana ingawa sijawahi kumuona nao ila hisia zangu zinaniambia hivo.
Mpaka nakuja kuandika hapa ni kwamba leo nimegombana nae tena kiasi cha kufikia tumeamua kuachana mbaya zaidi tunatumiana texts ambazo hazifurahishi na mimi imefikia stage nimeanza kumtumia message ambazo kwa kweli nikiziangalia naumia mwenyewe maana namjibu vibaya sana na kumdanganya zaidi ili anione sijali hata nilivoachana nae na yeye ananijibu vibaya pia kuonesha kama hanijali na hata tukiachana hataumia.
Nilichogundua ni kwamba nampenda ila sitaweza kumwambia hata iweje maana sipendi kujishusha hasa kwa mwanaume anione mimi nampenda sana mwisho wa siku aje kuniumiza ila nikifikiria kwa upande wa pili nawaza nitakuwa na wanaume wangapi maana kila mtu akinikera kidogo tu ninaamua kumuacha,nimejikuta hata nikiachana na mtu uwa sijutii kabisa nachukulia kawaida
Naombeni msaada wenu katika hili jambo
Sawa nitaomba msamahaOmba msamaha
Nipo kawaida sema tu hiyo hali ambayo ninayo sihitaki tenaUtakuwa mzuri bila shaka
Ndo athari za kuwa na mahusiano na mabinti wazuri huwa hawadumu kwenye mahusiano yao na hata ndoa kisa " sipendi kujishusha na muda wowote akiachika anapata bwana mwingine.
Wewe subiri kila mtoto na baba'ke ndo nyota yako
ukijizoeza hivyo itakuwa ndo tabia yako hadi uzeeni
kwa tabia hiyo hutaiweza ndoa hapo baadae kwa maana ndoa ni cake inayoliwa na kufaidiwa na wavumilivu na wenye kujishusha
Sent using Jamii Forums mobile app
HapanaUnatoka kilimanjaro?
Yah umeongea kitu cha msingi sanaDada kwa ushauri tu siku zote mwanamke ndio anajishusha kwa mwanaume. Na hata kama mwanaume amekukosea kwa mwanaume ni vigumu sana kujishusha. Kwa hali uliyonayo utabidi ubadilike cause ukiendelea ivyo utaishia kuachwa kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay
Hollywopd peke ao nikasema no,ni no. Na move on na mwingine tukikutana tunapiga za kiselaKabisa ukijumlisha hapo na Wakorea mambo ndo yanaharibika kabisa.
How old are you, little girl?Am not a kid! But why uniambie hivo,maybe una sababu unaweza kuniambia
Really??Hollywopd peke ao nikasema no,ni no. Na move on na mwingine tukikutana tunapiga za kisela
Kisema baby....by vee money wenyewe wanaita FWBReally??