Russia,CHina, Saudi Arabia, Syria, hawana humanity lakini Dunia imeona Israel na Syria?!Don't use your emotions when u try to understand this things.
What Israel got to do with humanity?
Babeli lazima iangushwe: ili maandiko yapate kutimia.maana mataifa yamelewa kwa mvinyo wa ghadhabu yake.I'm with you in all the goodness, more than you can imagine.
I'm sorry if you are offended, maybe we are speaking on different levels....
How can one even begin to assimilate a single line in the good book, mi siwezi honestly, i often pray for the guidance and wisdom of the Heavenly Father and the love of Holy Spirit pia consciousness of our Lord Jesus Christ....
Russia,CHina, Saudi Arabia, Syria, hawana humanity lakini Dunia imeona Israel na Syria?!
Tena Israel (tofauti na Syria) ingetakiwa kusapotiwa kwani walichokifanya ni vita dhidi ya Ugaidi.
Babeli lazima iangushwe: ili maandiko yapate kutimia.maana mataifa yamelewa kwa mvinyo wa ghadhabu yake.
I use the Holy Spirit in comprehension.Don't use your emotions when u try to understand this things.
What Israel got to do with humanity?
Read Pentateuch for comprehension
Hizi nchi ni kwamba zinabaka haki za binadamu ile mbaya. Lakini kwakuwa ni nchi zenye nguvu duniani. Hakuna wakuziadhibu.Ugaidi gani huo??
Maneno ya Uongo hayo ya Mtume Paulo toka mjini Roma Italy. Uwokovu hauwezi kutokana na mtu kifo chake . Kila mtu atauchukuwa mzigo wake mwenyewe. Kila mtu atabeba Madhambi yake mwenyewe. Kifo cha Bwana YESU hakiwezi kuwa ndio uwokovu wetu sisi sote. Ni maneno aliyoyatunga Mtume Paulo ni maneno ya uongo.Ili maandiko yapate kutimia: kwa maana Kama Yesu asingalikufa wokovu wetu ni bure.
Pole sana Elizabeth DominicI have read them still i don't get Israel inahusiana nini na binadamu yoyote mfano mimi.....
We should learn to mind our own business and strive to seek God.
Mungu hapatikani Israel wala ndani ya vitabu na misahafu....
Naona nimalize hapa
Maneno ya Uongo hayo ya Mtume Paulo toka mjini Roma Italy. Uwokovu hauwezi kutokana na mtu kifo chake . Kila mtu atauchukuwa mzigo wake mwenyewe. Kila mtu atabeba Madhambi yake mwenyewe. Kifo cha Bwana YESU hakiwezi kuwa ndio uwokovu wetu sisi sote. Ni maneno aliyoyatunga Mtume Paulo ni maneno ya uongo.
I do believe in the infallible Word.
Me too
I stand with israel
Nchi ya Ahadi
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
I stand with Israel.
I stand for israel.eti wanaua watoto wadogo wasio na hatia?kwani wale binti wa Nigeria walikuwa na hatia?piga kabisa hao.
Kwanini Hamas waliwaua wale vijana wa ki Israel?
Yoyote yule ambae haoni unyama ambao Wapalestina wanawafanyia Waisraeli kila siku ni juha na mnafiki sana!
I support Israel and not those cowards who are using children and women as shield.
Kilimanjaro (Tanzania) stands with ISRAEL. The peak of Africa, its people and its land, loves ISRAEL.
Pole sana Elizabeth Dominic
I have been in Israel couple of times and amaloving it.
Waarabu hawapendi kukosolewa na kuambiwa Ukweli. ndio maana hatahaya maneno unayatafsiri ni chuki.Ukweli kwa mwarabu ni pale tu unapowashinda kwa mabavu, ndio unakuwa msema kweli, na si vinginevyo. wanapenda makuu sana(Umungu mtu)!!
ni watu wenye tabia ya ku-overreact; ndio maana hata wao kwa wao hawawezi kupatana wala kupendana.Na ni kwakuwa Waarabu wako so touch!(sio sensitive) linapokuja swala la Ukweli.. Na wana wivu sana hata usio na msingi.
mfano:Haikunishangaza kuona
Afghanistan(Taliban fighters) inapigana vita na USA, ikiamini itawashinda kwa nguvu za Allah. Eti Allah yupo upande wao?!
ukiangalia nchi isiyo ya kiislamu kama Ukraine iliogopa kupigana vita na Russia ili kukomboa eneo la Crimea . Hapa tu unaweza kuona jinsi walivyo tofautiana katika kupambanua.
pia Japan imegwaya kuingia vitani na China dhidi ya visiwa ilivyonunua. Ingekuwa ni nchi ya kiarabu ingeshaingia kichwakichwa na kupata mkong'oto mkali sana wa mbwa
mwizi.