I seems to be boring

I seems to be boring

Pengine unisaidie zaidi hivi mwanamke kuwa mnyenyekevu ndo anatakiwa kuwaje. Na je hivi ukikuta pengine mwenzio alikuwa anakuambia pengine ana company then ukaja kufind out ni uongo unatakiwa u act vipi.
Kuwa mnyenyekevu siyo kuwa mnyonge. Kuwa mnyenyekevu maana yake ni kumheshimu mwenzako, kuheshimu mawazo yake, kuappreciate mawazo au jambo lake fulani, kumpa nafasi ya kutenda jambo, kama wewe umekosea kukubali kukosolewa, kama mwenzako ana pointi katika majadiliano yenu kukubali kwamba hoja zake zilikuwa nzito kuliko zako na kuchukua mwelekeo wa hoja zake, kutoakujikweza sana katika mambo fulani fulani, kama yeye kakosea basi umsahihishe kwa upole na mapendo bila kumng'akia na kumwonesha dharau. Wewe ukiwa na karama fulani au elimu au ujuzi fulani usijigambe au kuuringia kana kwamba ni wewe tu duniani. Hizo kwa kifupi ndio viashiria vya unyenyekevu.
Swali lako la pili la company, samahani nimeshindwa kulielewa. Labda ulifafanue kwa uwazi zaidi. Pole sana.
 
Mh maneno mazito sana Babuyao. Lakini ndiyo faida ya kula chumvi nyingi hiyo.
 
...mapenzi yanapokuwa motomoto katika hatua za awali, hutamkwa maneno mengi na akili huyabadili hata yale yaliyo mabaya kuyafanya matamu masikioni...

...ajabu ya akili, mnapokuwa kwenye ndoa maneno hayo hayo yakitamkiwa, unachukua hata yale yaliyo mazuri na kuyajengea hoja almuradi yaonekane yana kasoro.

Miscommunication kwenye ndoa ni jambo la kawaida, lipo ndani ya uwezo wenu kulirekebisha hili. Kwa kuanzia, chukulia kimya chake kuwa ni heri ya kimya chenye mshindo kuliko neno litalokukata kwa makali ya kisu.

...A woman will unconsciously sense when a man is pulling away and precisely at those times she will attempt to re-establish their intimate connection and say "lets talk". As he continues to pull away, she mistakenly concludes he doesn't want to talk or that he doesn't care for her.

When a man is pulling away is not the time to talk or try to get closer. Let him pull away. After sometime, he will return. He will appear loving and supportive and will act as if nothing has happened. This is the time to talk -John Gray
 
duh..mama pole sana. Ndio hivo tena kubali matokeo na angalia ustaarabu mwingine hata kama sio kwa kuvunja ndoa au kukidhi haja za kingono, kuna vitu vingi vimeumbwa kumfurahisha binadamu..kuna marafiki, misosi fresh, vinywaji, kusafiri dunia, watoto kama unao etc vikazanie hivyo, sio kila ndoa itakuwa ideal..accept and move on.

ashindwe ibilisi....ashindwe na alegee
 
Yani asante sana kwa ushauri wako mzuri kaka, alafu nikimgusia hicho kipengela hapo juu, basi hata kama alikuwa hana pesa atakopa tuu ili uondoke, yani naona hujiskia fresh sana.

Pole mama. It is very clear mapenzi ni kidogo sana kwa upande wake na anaona yaani wewe kama stalker flan hivi una-stalk maisha yake na kumletea kero. Mh..sasa naogopa nisijeambiwa navunja ndoa za watu humu jamvini..aargh
 
Hello my dears Wana JF,
Napenda kuelimika katika hili swala, na hisi kuwa huwa na bore hubby kutokana sijui ni mazoea au sijui cha kuongea naye! Nifanye nini ili nisiwe na mbore, maana mimi nadhani nimkimya sana inaweza kupita masaa manne hatujaongea kitu, na sipendi kuongea pumba nikaonekana wa kuja. Msaada tafadhalini wandugu

Nadhani mlishaachana rgt?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom