Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Hello my dears Wana JF,
Napenda kuelimika katika hili swala, na hisi kuwa huwa na bore hubby kutokana sijui ni mazoea au sijui cha kuongea naye! Nifanye nini ili nisiwe na mbore, maana mimi nadhani nimkimya sana inaweza kupita masaa manne hatujaongea kitu, na sipendi kuongea pumba nikaonekana wa kuja. Msaada tafadhalini wandugu
- ...akiongea usimkatishe...
- ...akiongea msikilize (hata kama humwelewi/unaboreka)...
- ...akiongea usimdharau...
- ...akikuuliza mjibu vizuri, kama huna jibu mwambie utamjibu baadae..
- ...akikusemesha itikia...nk