GentleGiant
JF-Expert Member
- Sep 22, 2021
- 585
- 546
Sasa kama unataka kuweka majibu yako wewe kwa sbabu yanafurahisha nafsi yako pia ni sawa sikulazimishi.We unadhani wakati wanaweka hicho kitabu hawakuona hiyo taarifa.Haya sasa hiyo taarifa imebatilisha kitu gani kwenye imani ya kikristu?Hili porojo la kiwango cha lami. Eti mikogo ya kiuandishi ndiyo imesababisha namba zimekosewa? Nipe ukoo wa Mariam kwenye biblia ulivyoorodheshwa kama wa Yesu kuliko kuniambia maneno matupu.
We haufahamu biblia kuna baadhi ya sehemu zimebadilishwa? Unajua lugha ya asili ya agano la kale na agano jipya?
Contradiction ambazo hazibatilishi chochote hazina impact kwenye imani.Ingekuwa kitabu kimoja kinasema Yesu alikufa msalabani kingine kikasema hakufa msalabani basi hapa kweli pangekuwa na tatizo.
Lakini kulazimisha kuwa Maria dada yake Musa ni mama wa Yesu ni kuudanganya umma na kuna impact kwenye imani ya wakristu iwapo watakubaliana na huo wizi.