I seek guidance please: Is Jesus 100% God or 100% Man?

Bado nasubiri mtu anipe mistari ya Biblia bila kumsaidia Yesu kutafsiri ambayo amesema; mimi ni Mungu. Sihitaji mtu wa kumsemea au kutafsiri anavyo ona yeye, nahitaji reference hata moja Yesu aliyosema kuwa mimi ni MUNGU!
Yani unaweka maneno ambayo unataka yawe Yesu kasema exactly kama unavyotaka,

weka maneno exactly Yesu kasema Mimi sio Mungu, embu weka na reference
 
Yesu hajasema mahala popote kwenye Biblia kuwa, yeye (mimi) sio Mungu kwa sababu; HAJAWAHI kusema mahala popote kwenye Biblia kuwa yeye (mimi) ni Mungu. Unamtaka akanushe kitu ambacho hajawahi kusema?
 
Kinachokusumbua ni Hypocrisy unataka maneno yako Yesu awe aliyatakamka kama unavyotaka,
Ila nimekuuliza uoneshe Wapi Yesu alitamka exactly Mimi sio Mungu unaona haitakiwi hiwe hivyo
  • Kwa mujibu wa imani yako hakuna anaeweza samehe dhambi isipokuwa Mungu tu
    • Koran 3:135.....na nani anaye futa dhambi isipo kuwa Mwenyezi Mungu?........
  • Yesu anajitambulisha anavyoona Yeye inafaa sio unavyoona wewe Binadamu inafaaa
  • Hapa tunaona kisa cha mtu alie pooaza Yesu anamsamehe dhambi , walimu wa sheria wakaanza kufikiri Kimya kimya wanasema mtu huyu anakufuru! (maana walikuwa wanajua Hakuna anae weza kusamehe dhambi isipokuwa Mungu tu) Yesu aliwajua wanachowaza ,
    • Meth 9:2 Hapo watu walimletea mtu mmoja aliyepooza mwili, amelazwa juu ya kitanda. Yesu alipoona imani yao, akamwambia huyo mtu aliyepooza, “Jipe moyo mwanangu! Umesamehewa dhambi zako.” 3Baadhi ya waalimu wa sheria wakaanza kufikiri, “Mtu huyu anamkufuru Mungu!”
 
SAMAHANI KIONGOZI
mimi nahitaji kuelimika na hivyo Usibadilishe mada na wala sijakuambia imani yangu
kwa taarifa tu nimesha soma vitabu viwili na sasa nipo cha tatu (Biblia, kurani na sasa nasoma Hinduism (the Vedas)
nimekujibu ulicho uliza;
"Yesu hajasema mahala popote kwenye Biblia kuwa, yeye (mimi) sio Mungu kwa sababu; HAJAWAHI kusema mahala popote kwenye Biblia kuwa yeye (mimi) ni Mungu inamaana hakuwa na haja ya kukanusha chochote (Lakini pia kwa kusoma kwangu Biblia sijakuta mahala popote aliposema yeye ni Mungu.
Ili na mimi nielimike; naomba uniambie mahala kwenye Biblia ambapo Yesu alisema yeye ni Mungu au hata anafanya kazi/miujiza kwa uwezo wake
Nafikiri utafute mwalimu wa kiswahili akupe tofauti ya " Umesamehewa dhambi zako" na "Nimekusamehe dhambi zako" Ndio utajua kuwa Yesu anawekewa maneno ambayo hajamaanisha
 
Unajua kwa nini walisema anakufuru

3Baadhi ya waalimu wa sheria wakaanza kufikiri, “Mtu huyu anamkufuru Mungu!”
 
Kama huna Imani , nafikiri nisipoteze mda na wewe , endelea kusoma vitabu

Nimeshakwambia huwezi weka majibu Yako ndio unataka yawe majibu exactly unavyotamka , nimekupa mfano mdogo Sana
Nimekwambia Kuna maali Yesu kasema Mimi si Mungu
Kama hakuna wewe umetumia nini kuamini Yesu sio Mungu?
 
Samahani sijakuelewa; Yesu atakanushaje kuwa sio Mungu, wakati hajasema kuwa yeye ni Mungu?
naomba tofauti ya " Umesamehewa dhambi zako" na "Nimekusamehe dhambi zako"
 
Nimekuuliza swali hili
Unajua kwa nini walisema anakufuru

3Baadhi ya waalimu wa sheria wakaanza kufikiri, “Mtu huyu anamkufuru Mungu!”

Wewe ulianza na swali ukitaka maneno exactly Yesu anasema Mimi ni Mungu
Nami nimekwambia nipe maneno exactly Yesu anasema Mimi si Mungu

Yesu alitumia maneno aliyoona yanafaa kujitambulisha , ndio maana nimekupa mfano wa kusamehe dhambi mpaka wakamwita anakufuru
 
naomba nifunge mjadala kwa upande wangu kwa kusema hivi:
Yesu hajawahi kusamehe dhambi
Alichosema Yesu ni kuwa "Umesamehewa dhambi" na kwa kiswahili au hata ungesoma tafsi nyingine; maana yake ni kuwa Yesu amefikisha ujumbe wa Aliyemtuma kumjulisha muhusika kuwa; Amesamehewa dhambi; kama Yesu angekuwa amemsamehe mwenyewe angesema Nimekusamehe Dhambi. Tatizo ni kuwa, watu wanalazimisha tafsiri ili iwape ujumbe wanaoutaka...
" Lakini pia hakuna mahali popote kwenye Biblia Yesu aliposema kuwa yeye ni Mungu, ila pia watu wanalazimisha Tafsiri wanayotaka kuisikia!
Nimefunga mjadala kwa upande wangu. Nakama huna vifungu vya Biblia, sihitaji hadithi hapa.....
 
naomba nifunge mjadala kwa upande wangu kwa kusema hivi:
Yesu hajawahi kusamehe dhambi
Alichosema Yesu ni kuwa "Umesamehewa dhambi" na kwa kiswahili au hata ungesoma tafsi nyingine; maana yake ni kuwa Yesu amefikisha ujumbe wa Aliyemtuma kumjulisha muhusika kuwa; Amesamehewa dhambi; kama Yesu angekuwa amemsamehe mwenyewe angesema Nimekusamehe Dhambi. Tatizo ni kuwa, watu wanalazimisha tafsiri ili iwape ujumbe wanaoutaka...
" hakuna mahali popote kwenye Biblia Yesu aliposema kuwa yeye ni Mungu, ila pia watu wanalazimisha Tafsiri wanayotaka kuisikia!
Nimefunga mjadala kwa upande wangu. Nakama huna vifungu vya Biblia, sihitaji hadithi hapa.....
Na hakuna popote kwenye biblia Yesu amesema exactly Mimi sio Mungu
Kwa hiyo tufunge mjadala huna point yeyeto ya kusema Yesu si Mungu

Yesu alikuwa na human flesh na alikuwa na Roho ambayo ni Mungu ndani yake , anapo tamka umesamehewa dhambi ni Mungu ndio katamka na sio human flesh ya ubinadamu wa Yesu
Ndio maana alivyotamka walisema anakufuru
 
Samahani
Unawezaje kusema hakuna mahali popote yesu amekataa kuwa yeye sio Mungu kwamba hiyo nayo ni hoja?
Kwa hiyo nikisema Yesu ni Ng'ombe ni sawa kwa sababu hakuna mahali kwenye Biblia aliposema kuwa yeye sio Ng'ombe???
Samahani sijatumia Lugha nzuri ila najaribu tu kukuelimisha
"Inamaana hata Biblia ya kiswahili haulewi hadi ulazimishe tafsiri ya kupotosha kilicho maanishwa? WATU WANGU WATAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA"
 
Nimeshamaliza kazi , usirudie tena kujifanya huna dini wala iamani
 
hata mimi nimefunga mjadala kwa kusema hivi:
Yesu hajawahi kusamehe dhambi na wala Yesu sio Mungu!
Alichosema Yesu ni kuwa "Umesamehewa dhambi" na kwa kiswahili au hata ungesoma tafsi nyingine; maana yake ni kuwa Yesu amefikisha ujumbe wa Aliyemtuma kumjulisha muhusika kuwa; Amesamehewa dhambi; kama Yesu angekuwa amemsamehe mwenyewe angesema Nimekusamehe Dhambi.
" Lakini pia hakuna mahali popote kwenye Biblia Yesu aliposema kuwa YEYE NI MUNGU, hivyo pia watu wanalazimisha Tafsiri wanayotaka kuisikia; nimesema hivyo kwa sababu kwa kusoma kwangu Biblia sikupata kifungu chochote au tafsiri sahihi inayo onesha hivyo zaidi ya tafsiri za kuunga unga.
Naomba Usimchonganishe Yesu na Aliyemtuma!
 
Alafu unadai umesoma biblia huku maandiko hujui, nimekuuliza kwa nini walisema anakufuru? hujajibu siku ya pili leo
Math 9:6Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anao uwezo duniani wa kuwasamehe watu dhambi.” Hapo akamwambia huyo mtu aliyepooza, “Inuka, chukua kitanda chako, uende nyumbani kwako.”
 
hata mimi nimefunga mjadala kwa kusema hivi:
Yesu hajawahi kusamehe dhambi na wala Yesu sio Mungu!
Alichosema Yesu ni kuwa "Umesamehewa dhambi" na kwa kiswahili au hata ungesoma tafsi nyingine; maana yake ni kuwa Yesu amefikisha ujumbe wa Aliyemtuma kumjulisha muhusika kuwa; Amesamehewa dhambi; kama Yesu angekuwa amemsamehe mwenyewe angesema Nimekusamehe Dhambi.
" Lakini pia hakuna mahali popote kwenye Biblia Yesu aliposema kuwa YEYE NI MUNGU, hivyo pia watu wanalazimisha Tafsiri wanayotaka kuisikia; nimesema hivyo kwa sababu kwa kusoma kwangu Biblia sikupata kifungu chochote au tafsiri sahihi inayo onesha hivyo zaidi ya tafsiri za kuunga unga.
Naomba Usimchonganishe Yesu na Aliyemtuma!
Ngoja nikufundishe kidogo nisikuache upotee, Yesu anajitambulisha anavyoona inafaa, Na wayahudi walielewa wazi kabisa na wakamuita anakufuru na wakawa wanatafuta njia ya kumuua, wewe unakuja karne hii unataka Yesu awe ametamka unavyotaka wewe

Unatakiwa kwanza uelewe kuwa mkristo lazima uamini utatu kinyume cha hapo unakuwa si mkristo , Baba, Mwana na Roho mtakatifu
Yesu ni nafsi ya Mungu ambayo Mungu ameitambulisha kwetu kama Mwana na alikuja duniani akavaa mwili Human flesh.
  • 1 Yohana 2:22Je, mwongo ni nani? Mwongo ni mtu yule asemaye kwamba Yesu si Kristo. Mtu wa namna hiyo ndiye mpinga Kristo, yaani, yeye humkana Baba na Mwana.

  • John10 27Kondoo wangu huisikia sauti yangu; mimi nawajua, nao hunifuata. 28Mimi nawapa uhai wa milele; nao hawatapotea milele, wala hakuna mtu atakayeweza kuwatoa mkononi mwangu
    • Psalm 95: 6Njoni tusujudu na kumwabudu; tumpigie magoti Mwenyezi-Mungu, Muumba wetu! 7 Maana yeye ni Mungu wetu,nasi ni watu wa kundi lake,ni kondoo wake anaowachunga........
  • John 10:30 Mimi na Baba, tu mmoja.”31Basi, Wayahudi wakachukua mawe ili wamtupie. 32Yesu akawaambia, “Nimewaonesheni kazi nyingi kutoka kwa Baba. Ni ipi kati ya hizo inayowafanya mnipige mawe?” 33Wayahudi wakamjibu, “Hatukupigi mawe kwa ajili ya kazi njema, ila kwa sababu ya kumkufuru Mungu! Maana wajifanya kuwa Mungu hali wewe ni binadamu tu.
  • John 5:8Kwa sababu ya maneno haya, viongozi wa Wayahudi walizidi kutafuta njia ya kumuua Yesu; si kwa kuwa aliivunja Sheria ya Sabato tu, bali pia kwa kuwa alisema kwamba Mungu ni Baba yake, na hivyo akajifanya sawa na Mungu.
  • John 20:28Thoma akamjibu, “Bwana wangu na Mungu wangu!” 29Yesu akamwambia, “Je, unaamini kwa kuwa umeniona?
 
hata mimi nimefunga mjadala kwa kusema hivi:
Yesu hajawahi kusamehe dhambi na wala Yesu sio Mungu!
Alichosema Yesu ni kuwa "Umesamehewa dhambi" na kwa kiswahili au hata ungesoma tafsi nyingine; maana yake ni kuwa Yesu amefikisha ujumbe wa Aliyemtuma kumjulisha muhusika kuwa; Amesamehewa dhambi; kama Yesu angekuwa amemsamehe mwenyewe angesema Nimekusamehe Dhambi.
" Lakini pia hakuna mahali popote kwenye Biblia Yesu aliposema kuwa YEYE NI MUNGU, hivyo pia watu wanalazimisha Tafsiri wanayotaka kuisikia; nimesema hivyo kwa sababu kwa kusoma kwangu Biblia sikupata kifungu chochote au tafsiri sahihi inayo onesha hivyo zaidi ya tafsiri za kuunga unga.
Naomba Usimchonganishe Yesu na Aliyemtuma!
Nami nakuasidia kuhitimisha kwa kusema hivi:

Kinywa cha mwerevu hunena kwa werevu, kinywa mjinga hunena kwa ujinga na kinywa mpumbavu hunena kwa upumbavu.
 
Na hakuna popote kwenye biblia Yesu amesema exactly Mimi sio Mungu
Kwa hiyo tufunge mjadala huna point yeyeto ya kusema Yesu si Mungu

Yesu alikuwa na human flesh na alikuwa na Roho ambayo ni Mungu ndani yake , anapo tamka umesamehewa dhambi ni Mungu ndio katamka na sio human flesh ya ubinadamu wa Yesu
Ndio maana alivyotamka walisema anakufuru
Kwahiyo kifo cha Yesu ni kwamba Roho yake ya Uungu ilitoka kwenye huo mwili aliyokuwa akiutumia?
 
John 19: 28 Kisha, Yesu aliona kwamba yote yalikuwa yametimia; na, ili Maandiko Matakatifu yapate kutimia, akasema, “Naona kiu.” 29Hapo palikuwa na bakuli limejaa siki. Basi, wakachovya sifongo katika hiyo siki, wakaitia juu ya ufito wa husopo, wakamwekea mdomoni. 30Yesu alipokwisha pokea hiyo siki, akasema, “Yametimia!” Kisha akainamisha kichwa, akatoa roho.
 
Back
Top Bottom