Acheni kuabudu viumbe msivyovijua..huyo yesu kristo, yesu wa Nazareth, hajawai na hatowai kuwepo maana aliundwa na watawala wa kirumi kwa kuiba stori za mababu wa kiafrika waliofanya maajabu dunian na kuchukuwa historia zao kwa kuwapa wahusika hewa wa hadithi za biblia ambazo ni Uongo zote hazina ukweli.
Yesu christo ni aina ya pepo ambalo uhusika wake unasimamiwa na yule azazel/zeus/chrishna, na ndilo hilo pepo hupenda makafara ya damu za wanyama&watu,
ndiomaana ktk biblia utakutan na hadith za Mungu kutaka sadaka za wanyama&watu, mfano ibrahimu kutaka kumtoa mwanae, na huyo Mungu tena kumtowa mwanae kafara kwa wanadamu et awe mkombiz wa dhambi uongo mkubwa huu,
hiz zote ni stories za uongo ambazo zliwekwa na waabudu shetan, kwakuwa Mungu wa biblia na dini zote ni mmoja amby ndye huyo huyo mnemuita shetan.
unapoomba kwa kutaja yesu/damu ya yesu, juwa kuwa unaalika nguvu za kipepo ambapo unapoziamni bas huweza kukutendea muujiz wowote kwa lengo la kukudanganya uzid kuamini kuwa huyo Yesu na baba yake ni Miungu.
Muumba wa kweli hana ushirika na kiumbe chochote, na hana mgawanyiko, haishi mbingun, kwakuwa ndye alieumba mbingu, haish ktk ulimwengu wowote, uwe wa roho ama mwil maana izo zote nikama nyumba aliziumba kwaajil ya viumbe wake ambao ni malaika,maserafi, makerubi na viumbe wa mwilin yaan watu na wanyama.
Shetan ktk kizaz hiki anaabudiwa kwa % kubwa kulko Muumbwa, maana watu walishapotea kwa kukubali kuabudu viumbe(mashetani) yanayojiita miungu ktk dini.
Wale watakaopona kihama kama stori zenu za biblia&quran zinavyosema, ni wale tu watakaomshinda mpinga kristo, na christo mwenyew si huyo yesu wenu wala si huyo isa bin mariam, bali ni christo wa kweki ni babu yetu aliewai kuish afrika miaka zaid ya 5000B.C na alkuja na atakuja kuikomboa afrika ya mtu mweusu tuu dhid ya manyanyaso ya watu weupe.
mpinga kristo ni waabudu dini wote na miungu yao iyi mnayoita yehova , Allan, Buddha, chrishna, elishadai, elohim,yesu, Na mataka taka mengine yajiitayo miungu
ukweli mchungu