I salute wadada wa.kichaga

I salute wadada wa.kichaga

loving

Senior Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
137
Reaction score
34
Habari wandugu
Nimefanya uchunguzi hapa mjini
Wadada wengiiii wana magar mazuri na wengi ni wachaga. Nawapongeza sana kwani ni haki.yenu maana mnapiga kaz kiukweli. wanajf mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Magari mazuri!!!
Hii haina tyofauti na ile kauli ya mkuu '..trafic jam ni kielelezo cha maendeleo...'
 
define magari mazuri kwa uelewa wako kwanza
 
Ebboth! Umeliona la kwangu?
Haya edit post yako na utheme, "WANAMAGARI MAZURI KAMA MAGARI YA Mashaxizo!"
...
Na ukikataa naifunga thired!
 
Magari mazuri ni yapi? Au passo,ist,spacio,vitz,nadia,duet,starlet,swift,raum? Maana wadada ndio wanayo hayo!!
 
Afu mdada kama Mamndenyi ana miliki magari kadhaa , lakini hamiliki walau Nguruwe wawili wa kufuga !
Mchagga gani hufugi Kitifaya ? Nina doubt na uchaga wenu !
 
Last edited by a moderator:
Hongera zao sie tutasongesha maisha na baiskeli zetu tulizozizoea
 
Back
Top Bottom