Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Afu mdada kama Mamndenyi ana miliki magari kadhaa , lakini hamiliki walau Nguruwe wawili wa kufuga !
Mchagga gani hufugi Kitifaya ? Nina doubt na uchaga wenu !
hahahaaa!!shemeji bana
wanaofuga ni wa bush,wa mjini
hua hatufugi,tunamiliki mavitu makubwa tu!!