I missed you jaman!!!!!

Acha tu mpenzi. Yaani ni shame juu ya shame. Na bahati nzuri.mama katawa, so hajajua. Hebu tuanze blackmails zetu manake sina hamu na huyu baba. Pata hizo picha tujue pa kuanzia kqanza, napeint makabrasha ya unokozi wake kwanza.
Asante sn my sister!
Yani nimezipata habari zake nimejikuta naishiwa pozi!
Kuna mtu kaniahidi kunifoadia picha zake na mmoja wapo wa kicheche wake nasubiri tukimweka mtu kati akibisha tu tunaweka mambo hazaran hadi hadi kwa mama lol!
 
Acha tu mpenzi. Yaani ni shame juu ya shame. Na bahati nzuri.mama katawa, so hajajua. Hebu tuanze blackmails zetu manake sina hamu na huyu baba. Pata hizo picha tujue pa kuanzia kqanza, napeint makabrasha ya unokozi wake kwanza.

Kama mnamzungumzia huyu snowhite, MMENOA KABISA.................

 
Last edited by a moderator:
Acha tu mpenzi. Yaani ni shame juu ya shame. Na bahati nzuri.mama katawa, so hajajua. Hebu tuanze blackmails zetu manake sina hamu na huyu baba. Pata hizo picha tujue pa kuanzia kqanza, napeint makabrasha ya unokozi wake kwanza.

Safari hii hana ujanja,lzm amue moja either kukata mshiko au tukamharibie kwa mama!
 
Hujambo Cantalisia! Hivi tushaonana wapi vile... najua ushakaribishwa nami kwa uwezo niliopewa na haka kadadavuzi mpakatio nakwambia welcome back and sit there. Haya nikumbushe basi Canty...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…