i missed u

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
i missed u guyz so much yaani.
Ni juzi jf ilipokuwa offline ndipo nkagundua kuwa na mie ni mmoja wa waathirika tusioweza kupitisha siku bila kujidunga kitu inaitwa jf.
jana nzima nayo kila nikitaka kulog in nikawa siwezi,nikasema no way niwe baned mbona sijavunja sheria jamani.
i love u all my jf memberz.
 
Kumbe na mie mlinimiss eeh ..nilipata muda mzuri wa kukagua mashamba yangu ....
niliwamiss pia
 
My performance at work was high when this JF was down! Leo sina conc nachugulia chungulia huku kama Nguchiro......can someone close for good this website! lol
 
My performance at work was high when this JF was down! Leo sina conc nachugulia chungulia huku kama Nguchiro......can someone close for good this website! lol

eeeeh

I will do it for you
 
Back
Top Bottom