Penny
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 575
- 52
Yani shosti umenena, kwa kweli hata mimi nilihangaika kuchwa kutwa bila mafanikio. Nikawa na mawazo mengi sn...may be am banned and so on. Jamani kama ni bangi basi JF nimejawapo. Cjui cku itoweke wengine tutakimbialia wp! I missed them JF alot and thank you are back again. Love u all.