I miss you mom

I miss you mom

R.i.p my mum i will always miss you!! You were exceptional to me a cant compare to anything!!
 
Vimachozi vimenitoka
i love my mum and i hope siku moja my baby atasema ninayoyasema
Mungu akupe that missing part.
 
Usijali Mungu wetu ni mwema

Barikiwa ..!!
 
Eiyer sijui kwann nimefungua huu uzi asbh ya leo.
nitarudi baadae
 
Last edited by a moderator:
Waoohh kama wewe ni mwanaume nakupa hongera sana sana kwa kutambua hili na kumpenda mama yako...Mungu akuzidishie upendo

[QU

OTE=Eiyer;10680457]
76.gif

Nakukumbuka sana mama yangu.

Simzunguzii yule mama ambae alichindwa kujua jukumu lake abaada ya kuzaa na kulea kwa miaka michache kisha akamtelekeza mwanae

Namzungumzia yule mama ambae nasikia watu wakimsema kuwa hawezi kulala mwanae akiwa hajalala
Namzungumzia yule mama ambae watu wanasema mwanae akiwa anaumwa anakosa kabisa amani
Namzungumzia yule mama ambae watu wanasema mwanae akishindwa kwenda shuleni kwasababu ya hali ngumu anakosa amani
Namzungumzia yule mama ambae watu wanamsema mwanae akilia usiku nae anakesha

Mama huyu ambae sifa zake hapo juu nimeweka baadhi ndie ninaemkumbuka na nahisi namkosa sana na namhitaji sasa kuliko wakati mwingine wowote ule.

Mama nimekukumbuka sana na nasikitika sijapata kukuona kabisa kwenye maisha yangu,niliyemuona ni yule ambae hata sifa hata moja hapo hana,niliishia kubebwa kwenye tumbo lake tu na kisha kuletwa duniani ambako nilikuwa mgeni na yeye ambae alikuwa mwenyeji hakunisaidia kuijua dunia hii.

Uchungu pekee alioupata yeye ni ule wa kunizaa tu lakini zaidi ya hapo hakuna.

Naendelea kukutafuta wewe iliestahili kuwa mama yangu ili nami nione sifa kukuita mama,uko wapi?
Natamani nikuone nami nikupe mapenzi ya dhati ambayo natamani kuyatoa kwako.

Nitaendelea kukutafuta milele

Pongezi za dhati kwe nu wamam wote ambao mmetimiza majukumu yenu stahiki kwa viumbe mlivyovileta duniani kwa kutaka na kupanga wakatio havipo

Mbarikiwe nyote.
[/QUOTE]
 
Pole sana ila ni Mipango ya Mwenyezi, Usilalamike sana...Mshukuru Muumba wako kwa kila jambo.....Utabarikiwa..

Kipi ni mpango wa Mungu?
 
namwomba MUNGU niwe mama wa kukumbukwa kwa mema kwa kizazi changu

pole Eiyer
 
Last edited by a moderator:
pole mkuu Elyer kwa yote hayo;

Mshukuru Mungu kwa kila jambo bestito
 
Last edited by a moderator:
Eiyer umenifanya nikumbuke mengi juu ya mama mwaka huu anatimiza 20 tangu alipotutoka, sijawahi kupata upendo kama wa mama hadi sasa nimekuwa mtu mzima....Nakupenda mama yangu....
 
Namna njema ya kumkumbuka mama ni kuendeleza mema yake .....

Hongera kwa kuwa na mama aliyejua yeye ni nani!
 
Eiyer nimekuelewa kaka!!!!

Tuendelee kuombeana heri
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom