Nina hamu sana ya kumjua huyu mama anaeongelewa na hawa;
Namna njema ya kumkumbuka mama ni kuendeleza mema yake .....
Hongera kwa kuwa na mama aliyejua yeye ni nani!
Wakati mnaamua wewe na baba yak kutafuta mtoto yeye alikuwepo?
Mkuu sidhani .......!!
Sasa maisha ni fumbo gani, huyu ana elimu hana pesa yule ana pesa hana watoto, huyu ana mama anamdharau yule hana mama anatamani japo awepo hata amkemee akikosa, huyu ana mtoto anamtesa mpaka anamchoma moto mikono huyu hana mpaka anaiba wa watu japo alee tu!!!!
Labda hayo ndio tunaita maisha sasa!!!!!
Nashukuru umegundua hilo ni tatizo
Lakini kusema ni tatizo hakumaanishi kuhukumu!