I miss you mom

I miss you mom

siongelei kuhalalisha ila naongelea swala la mtoto kumfikiria mama yake na kumsamehe, kuna watu najua wamezaa na miaka 13, yaani mama ni mtoto kiakili, kimwili, kifikira. Ninaongelea special case mkuu. Ukisoma hiyo post yangu taratibu.

Unaposema kumsamehe unakuwa unamaanisha nini?
 
Eiyer ipandishe juu hii kwenye thread yako..
76.gif

Done .....!!
 
Unaposema kumsamehe unakuwa unamaanisha nini?
Kumsamehe ni kumwachilia mtu, ni kuachilia zile fikira alizokuletea zenye uchungu, chuki, na maumivu. Kuachilia mawazo ya kisasi kama nitamkomoa, sitaongea naye, sitacheka akiongea all the negative thoughts. Kusamehe sio kitu cha siku moja ni process, unaanza taratibu taratibu na unadhamiria kuwa nimemsamehe na baada ya muda utajikuta huko huru. Kusamehe haimanishi kuwa ndio tumekuwa marafiki ina maanisha kuwa nikikufikiria siumii tena, sifikirii kisasi ila nafikiria mazuri juu yako.

Note: Hakuna mtu anayeweza kukupenda kama wewe unavyojipenda, jipende, kutokusamehe ni kujitesa mwenyewe.
 
Huwa naogopa sana kuhukumu. Ebu jaribu kuaangalia huyu mama kwa nini alifanya hivyo; mambo ya kukurupuka tu kulaumu na kuhukumu nahisi kama siyo sahihi. Mleta thread ametaja sifa za huyo mama anayemsema, tumfuate
 
i wish i could cry
but let me quit
i know how painful ur going through
all i can say
our lord is good
maana angekuabort
tusingepata hata mda wa kukujua
pole sana kaka
 
Pole sana mkuu ,ila mzazi ni mzazi....piga moyo konde na hisia za upendo.

Mama yangu nampenda sana ,amenipigania daima mpaka leo hii naweza kusimama kama mwanaume wa kweli.
Huyu Mama huyu alinipigania kwenye shida na raha ,aisee sina cha kulipa zaidi ya kusema nashukuru kwa yote mama yangu.
Nakupenda sana.
 
Hivi kwani leo ni siku ya wamama?

Kwa siku ya leo pekee nakutana na sredi ya pili yenye maudhui yanayofanana
 


Pongezi za dhati kwe nu wamam wote ambao mmetimiza majukumu yenu stahiki kwa viumbe mlivyovileta duniani kwa kutaka na kupanga wakatio havipo

Mbarikiwe nyote.

loh! Nina sifa zoooote za mama ulizotaja isipokuwa kwenye vigezo vya pongezi. Mimi mwanangu sikupanga kumleta wakati hayupo ila alipokuja nilishukuru na kumuandalia makao duniani na ninampenda sana.
 
Do you think i'm a fool?

You are not a fool and never will u be. Kama nimekukwaza niwie radhi rafiki. I didnt mean to offend you. Sikujua kama comment yangu yaweza kukuudhi. Nisamehe tu bure rafk.
 
Hakuna jambo lolote ambalo litahalalisha mama kumtelekeza mwanae!

Kuna mambo ambayo yanamfanya mama akatae na hata achukie watoto wake wengine mpk wanaua lakini wote hawa ni wagonjwa wa akili na kuna reason behind! Usiwahukumu ni kuwasaidia!
 
Kumsamehe ni kumwachilia mtu, ni kuachilia zile fikira alizokuletea zenye uchungu, chuki, na maumivu. Kuachilia mawazo ya kisasi kama nitamkomoa, sitaongea naye, sitacheka akiongea all the negative thoughts. Kusamehe sio kitu cha siku moja ni process, unaanza taratibu taratibu na unadhamiria kuwa nimemsamehe na baada ya muda utajikuta huko huru. Kusamehe haimanishi kuwa ndio tumekuwa marafiki ina maanisha kuwa nikikufikiria siumii tena, sifikirii kisasi ila nafikiria mazuri juu yako.

Note: Hakuna mtu anayeweza kukupenda kama wewe unavyojipenda, jipende, kutokusamehe ni kujitesa mwenyewe.

Hapa tupo pamoja!
 
Kuna mambo ambayo yanamfanya mama akatae na hata achukie watoto wake wengine mpk wanaua lakini wote hawa ni wagonjwa wa akili na kuna reason behind! Usiwahukumu ni kuwasaidia!

Nashukuru umegundua hilo ni tatizo

Lakini kusema ni tatizo hakumaanishi kuhukumu!
 
You are not a fool and never will u be. Kama nimekukwaza niwie radhi rafiki. I didnt mean to offend you. Sikujua kama comment yangu yaweza kukuudhi. Nisamehe tu bure rafk.

Hapana,hunanikosea mkuu wangu

Hujanielewa tu

Nisome upya na anzia kusoma maelezo yako ndio utanielewa mkuu

Pamoja sana ....!!
 
loh! Nina sifa zoooote za mama ulizotaja isipokuwa kwenye vigezo vya pongezi. Mimi mwanangu sikupanga kumleta wakati hayupo ila alipokuja nilishukuru na kumuandalia makao duniani na ninampenda sana.

Wakati mnaamua wewe na baba yak kutafuta mtoto yeye alikuwepo?
 
Pole sana mkuu ,ila mzazi ni mzazi....piga moyo konde na hisia za upendo.

Mama yangu nampenda sana ,amenipigania daima mpaka leo hii naweza kusimama kama mwanaume wa kweli.
Huyu Mama huyu alinipigania kwenye shida na raha ,aisee sina cha kulipa zaidi ya kusema nashukuru kwa yote mama yangu.
Nakupenda sana.

Mkuu upendo unajengwa na sio kuja tu from nowhere!
 
Huwa naogopa sana kuhukumu. Ebu jaribu kuaangalia huyu mama kwa nini alifanya hivyo; mambo ya kukurupuka tu kulaumu na kuhukumu nahisi kama siyo sahihi. Mleta thread ametaja sifa za huyo mama anayemsema, tumfuate

Sijajua haya maneno unamuambia mleta mada ambae ni mimi au kuna mtu mwingine unamlaumu kwa kukurupuka maana maandishi yako hayako wazi na inaonekana hapo unazungumzia ishu mbili tofauti!
 
Back
Top Bottom