I Miss You- Diamond Platnumz

I Miss You- Diamond Platnumz

Hii ngoma ya long cjui kwann alkuwa ajaitolea video
 
[HASHTAG]#HakunaJipya[/HASHTAG] a.k.a [HASHTAG]#Zilezile[/HASHTAG]
 
Hiyo quality ya video sasa hatari....sema huyo dem wa mwishon mwa wimbo sijamjua ni zari ama
 
I miss you kaiharibu angeiacha na ile ile verse yake ya zamani
 
kazi za huyu jamaa za sasa sio kama za zamani. hata maini kushtuka tuu hapana just watching kama vikatuni.... tbe man is really falling.... producer wake anazingua nae...
 
Hizo ramli zimeanza kupigwa miaka kadhaa iliyopita kiasi kwamba, hivi sasa labda angekuwa kwenye benchi moja na akina MB Dog!!!!
Najua hutaki kukubali maana unategemea career yake uishi lakini huo ndio ukweli. Jiandae tu kukubaliana na ukweli. This is a bitter truth as it is hard to swallow, it is painful truth.
 
Back
Top Bottom