mmeoana?..............hahahahahahaha.....mkuu,yale matando na makoko yalikuwa matamu kuliko ubwabwa wenyewe!
Mi nilipigwa mwiko wa paji la uso na housegirl,hadi leo nna alama ya milele!....surprisingly,ndo akaja kuwa mama wa my first-born!..jembe langu la ukweli sana leo!
Wakati wa mahubiri yanayogusa moyo watu wanamsikiliza mchungaji na siti zilizo empty ziko mbele....utakomwaje?
mmeoana?..............
nakukmbuka nilikua nayo ilikuwa naivaa jumapili kanisani, mfukoni nimepewa shilingi hamsini ya noti na sadaka yenyewe sitoi!Na suruali mchelemchele
'Naona unakumbuka enzi za Amitabh Bachan na Mithun Chakraboty ...
Zamani Watanzania kila nchi tulijua imetupita kimaendeleo
watu walikuwa wanazamia hata Mozambique ...
na shati za bahama na kiatu cha MOKASINI....
Moka zilikuwa zinawekewa vi chuma flani hivi kwenye visigino [ile sehemu ambayo hulika].
Basi ukitembea kwenye sakafu lazima vitoe mlio flani hivi....
Suruali ya mchele mchele na shati la bahama...teh!!
Mkuu unakumbuka suruali aiba ya Zicco
Dontachi Je zilikuwa moto
I miss those days, kombolela na vyakula vya asili. Thread kama hii vitoto kama Evelyn Salt miss chaga na Angel Nylon havikanyagi
Kwani jamani kitufe cha like kiko wapi? Nataka nitoe like
Hahahaaa umenikumbusha mchezo ya zamani looh, kombolela, kibaba baba na kimama mama, mate ka, kula mbakshie baba, kiskio poo, rede, vichupa daah.
Ila hapo kwenye kombolela kujificha watu ndo tulijifunzia mechi za mchangani. Unakuta umejificha na mvulana ambaye unampenda na mko wawili tuu mlipojifichia .......
Umesahau Bruce Lee "enter the dragon" one of the best movies of the time.Naona unakumbuka enzi za Amitabh Bachan na Mithun Chakraboty ...