Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
ha ha ha; yule alikuwa too much; amekua na amezoeana na majirani.
Ujue ngumu kuua nyani anayekufahamu?
Tena mbaya sana, natamani hadi kumpa ID ya pasiwedi ya jf
True, haina maana ila ushawahi jitafakari wewe wa miaka 15 iliyopita?
Kongosho yule wa mwaka2011/2012 ndo wa ukweliHa ha ha ha, wee umeamnza umbea lini?
hatudaiani konnie ,hata kidogo!na walahi kwa hili nafunga huu mlaptop wangu nilale mie!
nyie mtu pipo mlioalala sa hz!
mtakapoamka naomba nisiulizwe swali wala nisiombwe maelezo hiyo bold yenye red hapo ni kwa matumizi yangu binausi!
cc BADILI TABIA Dark City (konnie babu leo nilimbananisha maeneo unikumbushe asubuhi nikuhadithie) watu8 mwaJ jouneGwalu (af na wewe we jificheeeeee siku unaibuka watu tushapiga kipunga ) Nicas Mtei Ruttashobolwa hebu mwambie mama koooku aandae nshisha ,kina zombie wanapata mgore muda simrefu hapa!
umeona eeeh!
sisi tumeshamsoma kasoro Smile..... bado hana uhakika
he he heeee, akitokea hapo mimi simo..... utajiju mwenyewe, lol!halafu ni kama vile ndo anavunja ungo... kumbe tayari amekula shumvi sa kutosha.....
he he heeee, akitokea hapo mimi simo..... utajiju mwenyewe, lol!
sasa hivi anataka kufanya utafiti, anataka kujua je inawezekana mtu akabalehe baada ya menopause. hajielewi yaani, mapenzi yanamfanya hata ajione kuwa ndo anavunja ungo.... mpaka anawaza kutoa pasiwedi na kila kitu.....Hongera zote zimwendee ZOMBIE..... Ametumia mbinu za mika ileeeeeee za kumteka binti.. keshakula tundi
Mi sielewi sasa wewe hii hamaki yako ya nini jamani? Watu kula tunda? lol....!!!
Mi sijajificha wala nipo tu namuangalia Binamu wangu huyo, tuna mambo yetu ya Nyama za Hamu hapa na pale wala hanipi shida, so get calm princess.... hilo tunda haliishi toka lini Zombie akawa vegeterian hadi ale Tunda... we hujiulizi hahahaha
Ulitakiwa kuwa on my side no matter what, aren't you my friend?
wewe Nicas Mtei achana kabisa na mapenzi...sasa hivi anataka kufanya utafiti, anataka kujua je inawezekana mtu akabalehe baada ya menopause. hajielewi yaani, mapenzi yanamfanya hata ajione kuwa ndo anavunja ungo.... mpaka anawaza kutoa pasiwedi na kila kitu.....Hongera zote zimwendee ZOMBIE..... Ametumia mbinu za mika ileeeeeee za kumteka binti.. keshakula tundi
sasa hivi anataka kufanya utafiti, anataka kujua je inawezekana mtu akabalehe baada ya menopause. hajielewi yaani, mapenzi yanamfanya hata ajione kuwa ndo anavunja ungo.... mpaka anawaza kutoa pasiwedi na kila kitu.....Hongera zote zimwendee ZOMBIE..... Ametumia mbinu za mika ileeeeeee za kumteka binti.. keshakula tundi