I miss my ex man so much jamani

I miss my ex man so much jamani

Katunga story sio ya kweli
Asingeweza kuileta humu wkt wote wamo labda kampa limbwata la kuziba masikio mbots

Na hata kama ni kweli anamkumbuka x n 7b ya expenditure jamaa alizotumia na misele pmj na bata alompa hakuna mapenzi hapo


Damn you all ladies
My E njoo uwaone hawa wanavyoongea upuuzi
Love you my E
 
When a woman loves she loves for real nilimpenda x na bado nampenda hakunitoa bikira yeye lakini mapenzi yake kamwe sitayasahau he was such a gentleman na hatukuachana kwa sababu ya ugomvi but ni circumstances ambazo they can't be avoided



sasa utaishije nae mwananume huyu mpya km unammis hvyo usk mzima? km mlipendana namna nhyo kwann mliachana?

huon km unajitesa nafs yako...anywys kila mtu na maisha yake... mm had naingia kaburin sitakaa nimvulie pichu ex aic kwanza ataniona NIMEISHIWA... EX MIE KWANGU NI SCRAPER!
.................gudluck.............
 
maajabu hayatakaa yaishe...wewe si umesema umepata bwana hapa jf tena ni mbotswana na anakulipia mahari mwezi huu mwishon?sasa umekuja kumsifia x tena wataka aku****,haki ya nani daah
 
Wadau wa JF, tuwepo tuangoma kigambonino kihudhuria mahali ikitolewa kwa hela za trump. Pia tutapata kumuona mbotswana kiazi anayenunua mbuzi kwenye gunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitashangaa kwa nini ndoa zinavunjika... Umpate mume humu halafu X yumo humu humu unamsifia mbele ya mume mtarajiwa kweeeli.... Tuweni na chembe za huruma bhasi kama hata heshima haipo
 
Dada hujatulia najuta kukupa cheers yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom