Queen Horse
JF-Expert Member
- Sep 12, 2013
- 414
- 316
queen horse! karibu sana chamani!Sio siri wana cc kuna vitu ambavyo inawezekana vya ziada ambavyo mungu amemjaalia bujibuji vinafanya arefushe maisha yangu kwa kuwa na tabasam muda wote ninaposoma post na threads zake. Mungu kamjaalia kuwa na maneno mazuri na ujuzi wa kutumia tafsida inayoleta furaha kwenye kila neno lenye maudhi.... Mashaalah uzidishiwe kwa hayo na uendelee hivyo hivyo inshaalah
Thanx excel kwa ukarimu wako
si uko single lakini humu ndani mama?
Bujibuji hiyo miyai ya Bundi umeshaimalizia kazi tusaidie na sie .
Yap niko single humu bt ctafuti kwa sasa
Inakuaje tena huhitaji na ushamzimia huyu "chambegu?"
au hujavunjaga sinia ?
Yap niko single humu bt ctafuti kwa sasa
come on queen horse.. a woman is never looking,
but a man! then let me look for you for a moment!
give me a minute.. you will enjoy a day with me..!
trust me!
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi....
Mmmh guys wa cc mna vipaji eeenhe haya endelea
queen horse.. your silence is making me sick..
where did i go wrong?
tell me so that i can turn!
for you..
Hivi huwezi kuanzisha kampuni ya kuoutsource matongozo kwa ajili ya walio busy kama kina mzee mwanakijiji hivi?
si uko single lakini humu ndani mama?
Hivi huwezi kuanzisha kampuni ya kuoutsource matongozo kwa ajili ya walio busy kama kina mzee mwanakijiji hivi?