I love you bujibuji

yaani hapa bestito nadhani umekoseaga kidogo unampa sifa huyu nkamu Bujibuji ungejua kuwa ninamsaidiaga hizo thread zake usingempa hayo masifa yote atapanda bichwa huyo

Sio siri wana cc kuna vitu ambavyo inawezekana vya ziada ambavyo mungu amemjaalia bujibuji vinafanya arefushe maisha yangu kwa kuwa na tabasam muda wote ninaposoma post na threads zake. Mungu kamjaalia kuwa na maneno mazuri na ujuzi wa kutumia tafsida inayoleta furaha kwenye kila neno lenye maudhi.... Mashaalah uzidishiwe kwa hayo na uendelee hivyo hivyo inshaalah
 
Last edited by a moderator:

mmh! kucheka nataka kulia nataka zote kelele! kweli Mungu hamtupi mja wake! Bujibuji pande hilo najua wewe ni mtu wa kuharibu siku zote kazi kwako mchele wenyewe kitumbo pishori moja ukautia ufundi shauri yako! usijelaumu mtu ukalala na njaa!
 
Last edited by a moderator:
Sio siri wana cc kuna vitu ambavyo inawezekana vya ziada ambavyo mungu amemjaalia bujibuji vinafanya arefushe maisha yangu kwa kuwa na tabasam muda wote ninaposoma post na threads zake. Mungu kamjaalia kuwa na maneno mazuri na ujuzi wa kutumia tafsida inayoleta furaha kwenye kila neno lenye maudhi.... Mashaalah uzidishiwe kwa hayo na uendelee hivyo hivyo inshaalah
Dah watu wanabahati zao bwana..... haya muhusika umemwambia au ndo umeamua kumfungulia sredi apate ujumbe juu kwa juuuu
 
Sio siri wana cc kuna vitu ambavyo inawezekana vya ziada ambavyo mungu amemjaalia bujibuji vinafanya arefushe maisha yangu kwa kuwa na tabasam muda wote ninaposoma post na threads zake. Mungu kamjaalia kuwa na maneno mazuri na ujuzi wa kutumia tafsida inayoleta furaha kwenye kila neno lenye maudhi.... Mashaalah uzidishiwe kwa hayo na uendelee hivyo hivyo inshaalah
Upo????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom