Queen Horse
JF-Expert Member
- Sep 12, 2013
- 414
- 316
Sio siri wana cc kuna vitu ambavyo inawezekana vya ziada ambavyo mungu amemjaalia bujibuji vinafanya arefushe maisha yangu kwa kuwa na tabasam muda wote ninaposoma post na threads zake. Mungu kamjaalia kuwa na maneno mazuri na ujuzi wa kutumia tafsida inayoleta furaha kwenye kila neno lenye maudhi.... Mashaalah uzidishiwe kwa hayo na uendelee hivyo hivyo inshaalah