I lost My Only Brother I have

Pole sana na Mungu ailaze roho ya kaka mahali pema amen!
 
Pole sana Bro! Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.
 
Pole sana, "Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe".
 
Pole sana kaka,Mungu akutie nguvu na kukusafirisha salama.will speak to u soon
 

pole mpz
pole sana
 
Mungu awafariji wafiwa katika kipindi hiki kigumu. Na iwe hivyo!
 
Pole sana,usijali maumbile yanapofanya kazi yake huwa na uchungu,maisha yanaendelea,be strong!!
 
Pole sana mkubwa, tupo pamoja katika wakati huu mgumu
 
Pole sana kamanda...Mungu akupe nguvu na faraja. Na ampumzishe mahala pema peponi.
 
Pole sana Mwenyezi Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana Derimto,
Ulimpenda na Mungu pia amempenda amempenda sana.....
Mungu awatie nguvu na kuwalinda.
 
Pole sana Demrito kwa msiba mkubwa wa mpendwa kaka yako,Mungu atawatia nguvu tele.
 
Ruta i am around.... was just so busy!! But i am good... And sipo Dar saizi.... i am in Southern highlands...

wamekuonjesha panya buku hulo...maana ninasikia ni wataalamu wa kuwawinda na kuwachoma........................some claims they are a delicacy.............even in Zimbabwe do savour them.................................whoop....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…