I hate SHIKAMOOO.....!!!!!!!!!!!

I hate SHIKAMOOO.....!!!!!!!!!!!

Lione kwanza unajishaua tu
Unadhani nakubembeleza?
Unadengua nakutema kama kawa nahamia zangu Airtel kwani nini meeeen!

sizitaki mbichi hizi sungura akagumia utakoma hata wa mobitel hawakutaki achia ngazi babu mchuma unaondoka huo Bishanga njoo uone live band
 
Last edited by a moderator:
Remmy ulimuacha kwakuwa alikuwa hawara yako.
Kwa hiyo namie umenigroup huko . . . . weee tena koma ukomae kabisa!!

Ha ha ha haa
You will remain second hand. Wala usitake kujipa ukubwa.
He called me wife.
 
Last edited by a moderator:
sasa si ukakae nje ya Tanzania? maana hapo utatuumizia mabinti mkuu.
Nalog off
 
Hivi unajua nimemjibu Erickb52 bila kujua thread kaanzisha nani?
Mzee unazeeka vibaya wallah tena. Ntamuambia dingi aje akutambike!
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,

Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.
 
Last edited by a moderator:
Tena wanaume ndio sipendi kabisaa, hapa kazini kuna jamaa moja lina mwili mkubwa kila siku linaniamkia SHIKAMOO Mzee, huwa namwangalia tu wala simjibu


Umenichekesha sana na kunikumbusha mkaka anayeniamkia ili hali umri wetu ni sawa. Mie huwa naitikia tena kwa sauti haswa japo wenzake wanamshambulia kwanini ananiamkia. Mie najua anamuamkia boss wake.
 
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,

Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.

Ni muhimu sana Kuomba uzee uchelewe kutufikia.. huku Arusha nimekutana na wazee wakidosi wana mbumba lakini wanaishia kuwaangalia wakina cacico, King'asti, Remmy, Paloma, Asnam, Zion Daughter Kipipi, Preta na wengineo kwa macho tu nguvu kwishaaa hata ile ya kupepea hamna tena mateso bila chuki....
 
Umenichekesha sana na kunikumbusha mkaka anayeniamkia ili hali umri wetu ni sawa. Mie huwa naitikia tena kwa sauti haswa japo wenzake wanamshambulia kwanini ananiamkia. Mie najua anamuamkia boss wake.

mchumba shikamoo
 
Najua umeniacha nusu. Kuna siku huwa unarudi kupata mautamu.
Siunajua mambo yako noma!
Watu wa Pwani mnatuweza sana watu wa bara aisee Lol
Mtu mkigusishana vifanyio tu kwisha habari yako huchomoki tena :crying:
 
Siunajua mambo yako noma!
Watu wa Pwani mnatuweza sana watu wa bara aisee Lol
Mtu mkigusishana vifanyio tu kwisha habari yako huchomoki tena :crying:

Basi nirudie my baby! Achana na Kipipi yule bintibwa kichaga hajui mambo.
 
Back
Top Bottom