I hate SHIKAMOOO.....!!!!!!!!!!!

I hate SHIKAMOOO.....!!!!!!!!!!!

Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,

Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.

nyoa ndevu
 
I hate Shikamoo pia...ni kutokana na maudhui yake kuwa na asili ya "Mtumwa na Bwanyenye"
 
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,

Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.

Duh
Shikamoo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,

Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.

Mwenyewe silipendi hili li salamu, kwanza linaonekana la kitumwa.
 
watu8 uwe unanipa shkamoo jaman mpaka niombe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom