Tetra
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 1,526
- 771
::
Mtambuzi
Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi,,neno "shikamoo" lina asili ya kiarabu lenye maana ya "niko chini ya miguu yako"
Na halikadhalika
"MARHABA"~MARAHABA linatokea uarabuni pia lenye kumtikia aliyesema yuko chini ya miguu yake kwa kusema "Naam/barabara"
Neno linaloongezwa "hujambo" ni ufupisho wa (huna jambo?) na neno analojibu aliyechini ya miguu yako anasema "sijambo" kumaanisha (sina jambo) hata kama lipo inarahisishwa aliyechini ya miguu yako hana jambo.
POLE MTAMBUZI na wote mnaokwazwa na salaam hiyo ni moja ya athari ya ukoloni wa Waarabu kabla ya ujio wa Mjerumani na mwingereza
=

Last edited by a moderator: