I hate SHIKAMOOO.....!!!!!!!!!!!

I hate SHIKAMOOO.....!!!!!!!!!!!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,

Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.
 
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,

Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.


si unamvi wewe au!!
Aaaaahaa wewe ndo fataki yule kwenye radio!!
 
Last edited by a moderator:
Message sent and delivered hataki jaman kupewa shkamoo. Habari ya asubuhi kaka Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Tena wanaume ndio sipendi kabisaa, hapa kazini kuna jamaa moja lina mwili mkubwa kila siku linaniamkia SHIKAMOO Mzee, huwa namwangalia tu wala simjibu



infwakti thati kumbe wewe Mtambuzi nilifwataki!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom