Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,338 Reaction score 17,875 Mar 8, 2013 #201 mimisa said: wazee wa mujini hawaipendi salamu hii..kumbe nawe ni miongoni mwao? Click to expand... eti mimisa nilisikia wazee mwisho chalinze! LOL Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mimisa said: wazee wa mujini hawaipendi salamu hii..kumbe nawe ni miongoni mwao? Click to expand... eti mimisa nilisikia wazee mwisho chalinze! LOL
mimisa JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 2,511 Reaction score 1,441 Mar 9, 2013 #202 afu uku mujini wote tunakua rika moja..duh!,,kweli mujini mujini tu Kaizer Kaizer said: eti mimisa nilisikia wazee mwisho chalinze! LOL Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
afu uku mujini wote tunakua rika moja..duh!,,kweli mujini mujini tu Kaizer Kaizer said: eti mimisa nilisikia wazee mwisho chalinze! LOL Click to expand...
P Polisi ben JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 303 Reaction score 83 Mar 9, 2013 #203 Mtambuzi said: Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke, Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi. Click to expand... Mtambuzi vip tena wengine wanazitamani hizo hahahahahaha,, hazikwekwepeki hizo,,,simpe wakikusalimia we kausha watatambua kuwa huzipeni
Mtambuzi said: Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke, Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi. Click to expand... Mtambuzi vip tena wengine wanazitamani hizo hahahahahaha,, hazikwekwepeki hizo,,,simpe wakikusalimia we kausha watatambua kuwa huzipeni
MAMESHO JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,749 Mar 19, 2013 #204 nadhani hii salamu iko kwenye kiswahli tuu. hata lugha yangu ya kichaga hakuna salamu ya namna hii. nadhani waswahili wanapenda sana kutukuzwa
nadhani hii salamu iko kwenye kiswahli tuu. hata lugha yangu ya kichaga hakuna salamu ya namna hii. nadhani waswahili wanapenda sana kutukuzwa