I got it! Mheshimiwa Spika mnataka kutuloga!!?

I got it! Mheshimiwa Spika mnataka kutuloga!!?

Mnapata shida sana..ugomvi uko kwenye kudai kama haki...na pe lendekezo langu lina simama. Badala ya kususa i gepigwa kuwa wabunge waamue. Lakini huwezi kudai kuwa ni haki. Na inawezekana kweli wanataka kutuloga! ..suala ni suala la haki...Ni vizuri. Kuona mijadala lakini huwezi kudai kuona kama suala la haki. Mnaofikiri nimejigeuka ni kwa sababu hamnisomi. Sijasema mahali popote sasa hivi kuwa si nambo jema au haifai bunge kuoneshwa "live" napo wengine kutokana na kufikiri nimesema nini wanashindwa kuelewa nilichosema.

Kwani wamekushikia bunduki hadi uanze kutetea 'kubong'oa huku' ?
manake hadi unatia huruma.....ni ukuu wa wilaya na pesa kiasi gani hadi ujivue nguo namna hii?

au ili Mradi Rais Mkatoliki basi uko radhi kumtetea kwa lolote?
 
Nadhani watu mnapata shida; kwa sababu labda kusoma ni kugumu au kuelewa ni kugumu. Hakuna ubaya wowote wa TV kuoneshwa "live". Sijawahi kusema "ni vibaya kuonesha TV" au ni "haipaswi watu kuona kinachoendelea Bungeni". Sababu iliyotolewa wakati ule ilikuwa ni sababu ya kipuuzi kutaka kuzuia kurusha TV "live", sababu iliyotolewa sasa hivi siyo ya wakati ule - sidhani kama watu wanaona tofauti. Lakini zaidi labda inabidi niendeleee kuwaelimisha wengine. Wanaodai hadi kususa waonekane kwenye TV wanazungumzia suala la haki yao kuonwa au kurusha matangazo live. Hii haki haipo.

Nadhani ipo haja ya kuchukua hatua ya lazima ya kuufunga huu mjadala tena.
Mzee,umeumbuka sana.
 
Loh!!!! Mzee Mwanakijiji leo unataka kura ipigwe bungeni kuamua hili jambo???

Ni wewe kweli ama kunamtu amehack account yako ya JF??

Ni wewe unakuwa na mawazo ya hivi kweli???

mimi bado siamini kama ni wewe
Mzee mwanakijiji anajua bunge letu wengi ni wabunge wa CCM,anawasikia kila siku katika michango/mikutano na mazungumzo yao wanaunga mkono wazo hilo,Leo mwanakijiji huyu anapendekeza bunge hilo lipige kura.Mwanakijiji niliyekuwa nasoma mandiko yake kwenye gazeti la Tanzania Daima miaka ya 2008 siyo huyu.
 
Kwani wamekushikia bunduki hadi uanze kutetea 'kubong'oa huku' ?
manake hadi unatia huruma.....ni ukuu wa wilaya na pesa kiasi gani hadi ujivue nguo namna hii?

au ili Mradi Rais Mkatoliki basi uko radhi kumtetea kwa lolote?
Mkuu nakumbuka Makala yake moja Tanzania Daima ilienda kwa jina UENZETU HUU
 
Loh!!!! Mzee Mwanakijiji leo unataka kura ipigwe bungeni kuamua hili jambo???

Ni wewe kweli ama kunamtu amehack account yako ya JF??

Ni wewe unakuwa na mawazo ya hivi kweli???

mimi bado siamini kama ni wewe

Very interesting!

Baada ya uchaguzi wa October 2015 na subsequent incidents, watu wa kushoto wamejikuta kulia, wa kulia wapo kushoto,wengi waliokua na misimamo wamejikuta undecided, wale neutral wamejikuta wakiropoka kuwa wao sio neutral bali wapo upande fulani. Most importantly, kuna ambao wapo confused na wanatamani kufuta misimamo yao ya hapo kabla na kuusihi umma uachane na ya kale ushikilie yanayosemwa sasa!
Wengine hawawezi kuwatizama watu usoni tena, dhamira zinawasuta,nyuso zina haya. Maana halisi ya unafiki na usaliti kwa kundi la wana-fikra sahihi wa Taifa letu.

All in all,as a nation we are evolving, we are wiser today than yesterday!
 
Nadhani watu mnapata shida; kwa sababu labda kusoma ni kugumu au kuelewa ni kugumu. Hakuna ubaya wowote wa TV kuoneshwa "live". Sijawahi kusema "ni vibaya kuonesha TV" au ni "haipaswi watu kuona kinachoendelea Bungeni". Sababu iliyotolewa wakati ule ilikuwa ni sababu ya kipuuzi kutaka kuzuia kurusha TV "live", sababu iliyotolewa sasa hivi siyo ya wakati ule - sidhani kama watu wanaona tofauti. Lakini zaidi labda inabidi niendeleee kuwaelimisha wengine. Wanaodai hadi kususa waonekane kwenye TV wanazungumzia suala la haki yao kuonwa au kurusha matangazo live. Hii haki haipo.

Nadhani ipo haja ya kuchukua hatua ya lazimn ya kuufunga huu mjadala tena.

Hapa mwanakijiji nadhani utapa replies ambazo hujawahi kuzipata toka umejiunga na jukwaa hili, na kwa jinsi ulivyoanzisha ligi ya kipuuzi naona kabisa ukikosa usingizi kwa hizo kejeli na dhihaka utakazokuwa unazipata. Kwa hili una tofauti gani na hao uliokuwa ukiwananga eti wamebadilishia gia angani? Ila sio vibaya kwani siku za karibuni ulianza kutoka kwenye hoja za kujenga ukahamia kwenye ushabiki maandazi na kwa jinsi ulivyo nguli hapa jukwaaani hakuna rangi utaacha kuona. Jitahidi mkeo wala mtoto asione hii post jinsi unavyodhalilishwa.
 
MM ni mnafiki tu naona na njaa imechangia sana,kwa Sasa imepanda mpaka kichwani
 
Hakuna apendaye kuvuliwa nguo hadharani.

Hata wale makasisi wanao zini hufanya mafichoni dhambi hiyo.

Hata wale wasiokula kitimoto kutokana na dini zao hula mnyama huyo mafichoni.

Mpaka hapa chombo kimeshaanza kuyumba. Wanaamini ni mbele kwa mbele tu hata kikizama.
 
Kwani wamekushikia bunduki hadi uanze kutetea 'kubong'oa huku' ?
manake hadi unatia huruma.....ni ukuu wa wilaya na pesa kiasi gani hadi ujivue nguo namna hii?

au ili Mradi Rais Mkatoliki basi uko radhi kumtetea kwa lolote?
Hapo unapochomeka ukatoliki unakosea.
 
Duu aisee, sijaamini umekuja na utetezi wa namna hii, kimsingi swali langu la msingi hujalijibu mzee wangu Mwanakijiji, bado unamsimamo ule ule au umeamua kuhama mrengo?? Uungwana ni kukiri kuhama kambi na sio unafiki wa kujifanha hatujakuelewa, tumekuelewa sana, labda ww ndio hujielewi
 
Tatizo la Mzee Mwanakijiji ni kujifanya ametoka katika Sayari ya mars kwamba anauelewa sana wa mambo kuliko mtu yeyote lakini kilichoko nyuma ya pazia ID ya mwanakijiji ilikuwa inatumiwa na watu mbali mbali wenye uwezo wa uelewa wa mambo..Tangu hao watu wameacha kutumia hiyo ID baba Tony amebaki mweupe na si ajabu hakufahamu kuwa kulikuwa kuna andishi lilotumia jina lake ambalo linamuacha utupu.
 
Naona wengi humu ama mmeingia JF juzi ama mmeanza kusoma makala zinazoikosoa serikali majuzi tu. Tulioanza zamani tuligundua toka awali kabisa kwamba adui wa taifa hili ni CCM na wakati huo CCM haikuwa na mtu wa kumtupia lawama kwa sababu CCM ndio ilikuwa kila kitu...bunge, polisi, jeshi, mahakama n.k. Popote pale tulipojikuta, tulifikishwa na CCM pamoja na serikali yake, hawakuwepo wa kutupiwa lawama zaidi yao.

Tulipoanza kudai mfumo wa vyama vingi, kwa shinikizo kutoka ndani na nje, CCM kwa shingo upande ililazimika kuridhia lakini kwa masharti ambayo hayakuwekwa wazi. Baada ya kuona hatari iliyoletwa na mfumo huo, wajanja ndani ya CCM walikaa kitako na kutafakari ni vipi wataendelea kuaminiwa na wananchi. Kitu kimoja walichokiridhia ni kwamba sasa angalau wamepatikana alternatives wa kuwatupia lawama mambo yakienda kombo,upinzani.

Lakini hapo napo walikwaa kisiki, kwa hayati Mwalimu Julis Kambarage Nyerere, mwanzilishi, national icon, Baba wa Taifa na mwanachama namba moja wa Chama cha Mapinduzi. Mwalimu alikuwa kama LUKU kwa CCM na wengi waliotaka kwenda nje ya mstari hakuwamezea maneno, aliwapa kavu kavu. Alichosahau Mwalimu ni kwamba he had created a monster, a monster that would stop at nothing to get what it wanted at whatever cost.

Thus Mwalimu became the first victim of a product of his own creation, a monster out of control! Mwalimu aliwapiga stop Lowassa na Kikwete mara tu baada ya mfumo mpya wa vyama vingi...alikuwa ana sababu zake, alijua jinsi mizizi ya CCM ilivyojikita katika kila nyanja. Nia yake kubwa ilikuwa ni namna ya kukipunguzia nguvu hili zimwi kwa sababu alijua kwa nguvu ilizo nazo, CCM isingeweza kuachia madaraka hivi hivi kirahisi.

Alikuwa anatafuta namna na kulidhoofisha hili zimwi hadi kufikia hatua ya kutamani kuiona CCM ikipasuka vipande viwili angalau vijitokeze vyama viwili vyenye nguvu sawa. Baada ya kifo kilichogubikwa na utata, Mwalimu akatuacha Watanzania kama yatima na yasemekana (sina hakika) machozi yake kabla ya kukata roho yaliashiria vitu viwili...masikitiko na huruma kwa kutuacha Watanzania mikononi mwa manyang'au yasiyo na huruma.

Nikipata muda nitarudi niendeleee na hii makala na namna inavyowahusu wanafiki waliokuja kujitokeza baadaye kama Mzee Mwanakijiji, Mwakyembe, Shivji na wengineo...

Mkuu asante kwa historia ,tatizo linaloonekana hapa ktk nchi yetu ni 'mfumo' m'baya ukisimamiwa na mtu mwenye nia mbaya na vile vile ni mfumo mzuri iwapo atakae tawala nae atakuwa na nia nzuri.Swali ,Mwalimu Jullius Nyerere alitawala kwa mfumo huu huu na tuliona matokeo yaliyo tarajiwa hasa kwa uchanga tulikuwa nao kama nchi wakati huo,ni kwa nini hakuona ni muhimu kuupunguza nguvu ili kuleta usawa hasa linapokuja suala la "demokrasia"?.

Tutaendelea na hali hii mpaka lini!?..Sababu kinachoonekana hapa HAKI zetu za kimsingi kama binadamu kufikia hatua ya kuamuliwa kwa kura ama tupewe au tusipewe,jambo ambalo kwangu sio sawa...

Nnatanguliza shukrani.
 
Tatizo kubwa la hilo zee ni uraisi wa JK, maana imekuwa kautaratibu sasa Raisi akiwa muislam lazima asumbuliwe na kuyumbishwa sana! Aonekane hana jema hata moja! Anyway Mungu atalilipa zee hili kinacholifaa!
 
Hivyo vituo vingine vimezuiwa kwa kwa sheria gani mkuu?
kwa mujibu wa mkuu wa kurugenzi wa habari bunge baada ya kipindi cha maswali&Majibu ambayo itakuwa LIVE ni kamera za bunge tu zitarekodi kupitia studio yake na kuwapa media baadaye kuonyesha MIJADALA

umekuaje injinia, Coet-Udsm mlikua mfano wa wenye misimamo
 
Back
Top Bottom