KayScarpetta
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,251
- 776
tukiwakubalia hili tuwe tayari kubong'oa mbele zao...
khaaa!
tukiwakubalia hili tuwe tayari kubong'oa mbele zao...
Umenikumbusha ule msemo adhimu wa Mzanzibari ya kuwa "MAANDISHI YAKO UKUTANI HAYAFUTIKI"Hahhah!
ndio uzuri wa mandishi!
hayafutikagi!
Kambini kwetu? Unanchekesha.
Labda huelewi kuwa mtu wa kwanza kumgundua huyo mtu kuwa ni mnafik na fataani humu JF ni mimi na nikampa kavu kavu na za uso miaka mingi sana iliyopita. Members wa JF wa zamani watamkumbuka.
Huyo ni mnafik, fataani, muongo, mzushi na mzandik namba moja humu JF kama si Tanzania hii.
Ni mbaya huyo mtu kuliko kuzimu. Ni bora ukutane na koboko kuliko huyo fataani.
Wengi walikuwa wanamtetea nilipokuwa nampa za uso, leo wananielewa na walionishambulia kwa ajili ya kusema ukweli kuhusu huyo mtu, sasa inawabidi waniombe msamaha.
Huwa sikisii.
Umenitisha kidogo ulivyomuita PUNGUANI mtu bila sababu au ndio ukongwe.
Umenitisha kidogo ulivyomuita PUNGUANI mtu bila sababu au ndio ukongwe.
Ila yote kwa yote ongeza busara kwenye mwenendo wako utakuwa bora kuliko unavyodhani.
Hongera kwa kutambua udhaifu Wa MM wakati watu wakimuona kama JF geneos.
Mwanakijiji ni chuki za kupindukia hasa zilizochanganywa na kukosa maslahi ndizo zilimfanya auponde utawala wa JK!!Hili zee litakuwa ni lichawi? Hakuna kitu lilichoridhika kwenye utawala wa raisi kikwete likiwa na lile zee jingine lishindia mihogo!!! Kimbe ni minafiki namba moja
Mwanakijiji ni chuki za kupindukia hasa zilizochanganywa na kukosa maslahi ndizo zilimfanya auponde utawala wa JK!!
Teh!tukiwakubalia hili tuwe tayari kubong'oa mbele zao...
ahahahaTeh!
2013 unarusha ngumi na mateke..
2014 ukaanza kutulia....
2015 ukaanza kurembua..
2016 umebong'oa...
Adui yako muombee NJAA..utakiwa umemmaliza...Duhhhh pole sana.
Nimesoma thread yako ya leo ambayo sikukubaliana nayo.
Nimekutana na hii nikaona point kibao ulizo toa.
Ningeombe tu kuuliza kwa nini umebadili msimamo wako ?