I got it! Mheshimiwa Spika mnataka kutuloga!!?

Duu aisee, sijaamini umekuja na utetezi wa namna hii, kimsingi swali langu la msingi hujalijibu mzee wangu Mwanakijiji, bado unamsimamo ule ule au umeamua kuhama mrengo?? Uungwana ni kukiri kuhama kambi na sio unafiki wa kujifanha hatujakuelewa, tumekuelewa sana, labda ww ndio hujielewi
Maneno yangu yanasimama kama yalivyo; uzuri wa watu kuona Bunge rejea nilichosema wakati ule Nape alivyotoa hili pendekezo; bado niliamini Bunge ndio lina wajibu huo. Siamini na hakuna mtu amenishawishi hadi hivi sasa kuwa kuna haki ya kuona Bunge "live" kwa vile ni haki fulani. Sasa hapa gumu ni lipi hasa?
 
Mzee mwanakijiji anajua bunge letu wengi ni wabunge wa CCM,anawasikia kila siku katika michango/mikutano na mazungumzo yao wanaunga mkono wazo hilo,Leo mwanakijiji huyu anapendekeza bunge hilo lipige kura.Mwanakijiji niliyekuwa nasoma mandiko yake kwenye gazeti la Tanzania Daima miaka ya 2008 siyo huyu.

Wabunge wengi wa CCM wametoka wapi? Kuna mtu ameandika mahali fulani humu kuwa "uchaguzi una matokeo". Sasa watu ambao hawana wingi Bungeni vipi wao ndio waamue kama vile wao ndio wengi (majority)?
 
Maneno yangu yanasimama kama yalivyo; uzuri wa watu kuona Bunge rejea nilichosema wakati ule Nape alivyotoa hili pendekezo; bado niliamini Bunge ndio lina wajibu huo. Siamini na hakuna mtu amenishawishi hadi hivi sasa kuwa kuna haki ya kuona Bunge "live" kwa vile ni haki fulani. Sasa hapa gumu ni lipi hasa?

Shameless ........unafikiri watu hawaoni through you?
hata kwa maandishi we can see through you....

Na soon ukishapewa hiko cheo ndo tutakuona uso wako unavyo kusaliti wakati ukiongea yale usiyoyaamini...
many cant wait....
 
Tatizo la Mzee Mwanakijiji ni kujifanya ametoka katika Sayari ya mars kwamba anauelewa sana wa mambo kuliko mtu yeyote lakini kilichoko nyuma ya pazia ID ya mwanakijiji ilikuwa inatumiwa na watu mbali mbali wenye uwezo wa uelewa wa mambo..Tangu hao watu wameacha kutumia hiyo ID baba Tony amebaki mweupe na si ajabu hakufahamu kuwa kulikuwa kuna andishi lilotumia jina lake ambalo linamuacha utupu.
Hii kali ya mwaka!
 
namwelewa sana MM kwa aina hii ya wapinzani ambao walibadilika ghafla na kutuambia kua lowasa yule waliyekua wakimtukana over the years na kumtuhumu kua ni fisadi alikua anaonewa tu. haha. haya makambale haya.
 
Maneno yangu yanasimama kama yalivyo; uzuri wa watu kuona Bunge rejea nilichosema wakati ule Nape alivyotoa hili pendekezo; bado niliamini Bunge ndio lina wajibu huo. Siamini na hakuna mtu amenishawishi hadi hivi sasa kuwa kuna haki ya kuona Bunge "live" kwa vile ni haki fulani. Sasa hapa gumu ni lipi hasa?

Haha, wengine tunakujua muda mrefu kuwa kichwani wewe ni mweupe!! Ndio maana hata unachobisha hapo hukijui ilhali maandishi yako haya na yale yanaonesha mgongano!!!

Kina kirefu hiki kwa vichwa vya sampuli yako ni ngumu kumeza!!!
 
Shameless ........unafikiri watu hawaoni through you?
hata kwa maandishi we can see through you....

Na soon ukishapewa hiko cheo ndo tutakuona uso wako unavyo kusaliti wakati ukiongea yale usiyoyaamini...
many cant wait....

Polepole anaandaa mbio za Mwenge Musoma huko!!

Nawashukuru wazazi walonipa malezi bora sana kiasi cha kuishi kwenye mstari tangu muda tu ukinilinganisha na watu wa umri wa kina Mwanakijiji na Slaa ambao bado wanatanga tanga na maisha....

Its like a curse!!!!
 
Hapo unapochomeka ukatoliki unakosea.

Huyo anaejiita Mzee Mwanakijiji ni mdini tena Fataani wa udini nambari moja.

Hana tofauti na anaejiita Pasco wa JF.

Hao wakisikia mafanikio ya Muislam / Uislam basi roho zinawanyonga, matumbo yanawakata, mioyo yao ina maradhi na maradhi yao kila kukicha kwani mafanikio ya Waislam / Uislam yanaongezeka kila kukicha.
 
Wabunge wengi wa CCM wametoka wapi? Kuna mtu ameandika mahali fulani humu kuwa "uchaguzi una matokeo". Sasa watu ambao hawana wingi Bungeni vipi wao ndio waamue kama vile wao ndio wengi (majority)?
Vipi miaka mitano nyuma umewahi kuandika hivi?vipi ulipozema tusikubali kinyimwa haki ya kuangalia bunge live wakati huo wapinzani walikuwa wengi bungeni?Wewe ni mnafiki wa mchana kweupe.Aibuuuuuuuu
 
Hata mimi nimesmell uenzetu katika Ukatoliki ndiyo maana popote mkatoliki yupo mzee mwanakijiji naye yupo!.

Siyo yeye tu, hata John Mnyika, kususa kwake na Ukimya wake kipindi cha kampeni je ni kwa sababu mwenzie katika imani alibadirishiwa gia angani?, lakini pia
Kwa nini amuangushe mwingine japo itikadi tofauti?, akaamua solidarity iwe forever kwa kupiga kimya, na hata sasa yuko kimya?
Anatetea raia mwenzie wa Vatican?.iyo mbaya lakini
 
Mzee central government imeweka kivuli chake kila mahara, haitaki kukosolewa, haitaki madhaifu yake kuonekana
 
Maneno yangu yanasimama kama yalivyo; uzuri wa watu kuona Bunge rejea nilichosema wakati ule Nape alivyotoa hili pendekezo; bado niliamini Bunge ndio lina wajibu huo. Siamini na hakuna mtu amenishawishi hadi hivi sasa kuwa kuna haki ya kuona Bunge "live" kwa vile ni haki fulani. Sasa hapa gumu ni lipi hasa?
hahahahahaha....hii ni zaidi ya ukubwa jinga...hata aibu huoni ya maneno yako
 
Hata mimi nimesmell uenzetu katika Ukatoliki ndiyo maana popote mkatoliki yupo mzee mwanakijiji naye yupo!.

Siyo yeye tu, hata John Mnyika, kususa kwake na Ukimya wake kipindi cha kampeni je ni kwa sababu mwenzie katika imani alibadirishiwa gia angani?, lakini pia
Kwa nini amuangushe mwingine japo itikadi tofauti?, akaamua solidarity iwe forever kwa kupiga kimya, na hata sasa yuko kimya?
Anatetea raia mwenzie wa Vatican?.iyo mbaya lakini

Naona mnaendelea kufukua makaburi. Hoja ya msingi hapa ni mkutano wa wananchi( bunge) uwe live, ili wananchi wawapime live wawakikushi wao.
 
Huyo anaejiita Mzee Mwanakijiji ni mdini tena Fataani wa udini nambari moja.

Hana tofauti na anaejiita Pasco wa JF.

Hao wakisikia mafanikio ya Muislam / Uislam basi roho zinawanyonga, matumbo yanawakata, mioyo yao ina maradhi na maradhi yao kila kukicha kwani mafanikio ya Waislam / Uislam yanaongezeka kila kukicha.

Kama ni kweli usemayo,basi mtakuwa sawa manake wewe una PHD ya huo ujinga na pengine chuki zako kwa mwanakijiji ni kwa vile tu mmetofautiana imaan.
Nawe pia ukisikia mafanikio ya mkatoliki si unatamani dunia ipasuke?
Naamini jamaa(mwanakijiji)kakengeuka kwa sababu ya chuki binafsi na EDDO na si kwa sababu ya ukatoliki wa mkuu wa kaya.
offcourse mwanakijiji amekuwa akila matapishi yake kwa kipindi hiki labda kwa sababu ya njaa zake tu na sio kwa sababu ya imani yake.
Back to the topic...
 
Hili la kubong'oa huyu Mzee sijui alilitoa wapi, maana huko Marekani alikokuwa ni halali kufanyika. Jee alishawahi kushiriki!?
 
Shameless ........unafikiri watu hawaoni through you?
hata kwa maandishi we can see through you....

Na soon ukishapewa hiko cheo ndo tutakuona uso wako unavyo kusaliti wakati ukiongea yale usiyoyaamini...
many cant wait....

Teh teh huyu ndiye aliye mtabiria Pasco wa JF
 
Back
Top Bottom