Heko kwa King SuleimanImebidi nirudi nyuma kuangalia nani kamu EXPOSE huyu muheshimiwa sana Mzee Mwanakijiji, ntafurahi akija nione jinsi atakavyolamba matapishi yake artistically. Asante sana uliyemuibua.
Duuuuuh!!! Maisha yanaenda kasi sana.......pale mfalme anapobadilika kuwa malkiatukiwakubalia hili tuwe tayari kubong'oa mbele zao...
Mkuu umefanya kazi kubwa kutukumbusha haya. Safi sanaHii Thread ya Mzee mwanakijiji mwaka 2013 inanikumbusha mbali sana, kweli dunia inabadilika na kwa hakika ina maajabu yake.
Hii Thread ya Mzee mwanakijiji mwaka 2013 inanikumbusha mbali sana, kweli dunia inabadilika na kwa hakika ina maajabu yake.
Wenzio wanaulizaga Maswali sasa wee unauliza Jibu!Mzee vipi hapo, tayari nini?
Hapana mkuu. Unajaribu kucheza tuu na maneno, lakini kitu ambacho kiko wazi kabisa ni kuwa umepiga u turn kubwa sana.Mnapata shida sana..ugomvi uko kwenye kudai kama haki...na pe lendekezo langu lina simama. Badala ya kususa i gepigwa kuwa wabunge waamue. Lakini huwezi kudai kuwa ni haki. Na inawezekana kweli wanataka kutuloga! ..suala ni suala la haki...Ni vizuri. Kuona mijadala lakini huwezi kudai kuona kama suala la haki. Mnaofikiri nimejigeuka ni kwa sababu hamnisomi. Sijasema mahali popote sasa hivi kuwa si nambo jema au haifai bunge kuoneshwa "live" napo wengine kutokana na kufikiri nimesema nini wanashindwa kuelewa nilichosema.
Ulikuwa na chuki zako tu utawala wa JK, hakuwaga na jema la wewe! Uovu wako unadhihirika sasaMnapata shida sana..ugomvi uko kwenye kudai kama haki...na pe lendekezo langu lina simama. Badala ya kususa i gepigwa kuwa wabunge waamue. Lakini huwezi kudai kuwa ni haki. Na inawezekana kweli wanataka kutuloga! ..suala ni suala la haki...Ni vizuri. Kuona mijadala lakini huwezi kudai kuona kama suala la haki. Mnaofikiri nimejigeuka ni kwa sababu hamnisomi. Sijasema mahali popote sasa hivi kuwa si nambo jema au haifai bunge kuoneshwa "live" napo wengine kutokana na kufikiri nimesema nini wanashindwa kuelewa nilichosema.
Ningeshangaa sana kama usingehamisha GOLI namna hiiMnapata shida sana..ugomvi uko kwenye kudai kama haki...na pe lendekezo langu lina simama. Badala ya kususa i gepigwa kuwa wabunge waamue. Lakini huwezi kudai kuwa ni haki. Na inawezekana kweli wanataka kutuloga! ..suala ni suala la haki...Ni vizuri. Kuona mijadala lakini huwezi kudai kuona kama suala la haki. Mnaofikiri nimejigeuka ni kwa sababu hamnisomi. Sijasema mahali popote sasa hivi kuwa si nambo jema au haifai bunge kuoneshwa "live" napo wengine kutokana na kufikiri nimesema nini wanashindwa kuelewa nilichosema.