I got it! Mheshimiwa Spika mnataka kutuloga!!?

Mnapata shida sana..ugomvi uko kwenye kudai kama haki...na pe lendekezo langu lina simama. Badala ya kususa i gepigwa kuwa wabunge waamue. Lakini huwezi kudai kuwa ni haki. Na inawezekana kweli wanataka kutuloga! ..suala ni suala la haki...Ni vizuri. Kuona mijadala lakini huwezi kudai kuona kama suala la haki. Mnaofikiri nimejigeuka ni kwa sababu hamnisomi. Sijasema mahali popote sasa hivi kuwa si nambo jema au haifai bunge kuoneshwa "live" napo wengine kutokana na kufikiri nimesema nini wanashindwa kuelewa nilichosema.

Kijana hacha kujitoa ufahamu, wakati unajipinda kuandika hii nakala ndefu na vibwagizo vya kejeri hakufahamu kuwa unachodai si haki? Huu unafiki mpaka lini jamani yaani kijana mdogo kamawewe unajitoa ufahamu kwa ajiri ya tumbo lako..
 
naona una kazi sana kumuelewa mwanakijiji

ulalamishi wa raia wa kawaida , wewe au mimini tofauti na mbunge yeyote yule

Mbunge anaweza

kuandaa mswaada na akaupeleka bungeni na ukajadiliwa na mawazo yatakayotoka pale itakuwa ni bunge limeamua
tangu mwaka jana hakuna jitihanda zozote zilizofanywa na mtu yeyote za kuifanya TBC ionyeshe matangazo! mbunge anatakiwa atumie nguvu lakini sio kulalamika kana kwamba ni HAKI wakati haijaandikwa mahali popote na mwenye nguvu ya kufanya iandikwe mahali ni huyo mlaamikaji!!

Mbowe na timu yake wanalalamika sawa kabisa na kapuku fulani mzururaji barabarani ja hakuna namna ya kisheria ku isukuma serikali ionyeshe?

Lakini pili, hakuna mbunge anayewza bunge kuwa na TV yake au na bajeti yake ili watafute chombo kingine cha habati mbali ya TBC na waonyeshe matangazo?? kumbuka kuna ulalamishi wa mhimili mmoja kuingilia mwingine

hauoni TBC kama chombo cha serikali kinashinikizwa na bunge na huu ni muhingiliano wa mihimili?

Neleze , niambie , kama umewahi kusikia, au kama limewahi kufanyika, je matangazo ya bunge kwa siku ni sh ngapi? na je bunge haliwezi kulipa? na kama hela haipo kuna jambo limefanyika kuipata hiyo hela??

nimewaza kama kwenye akili timamu zaidi ya wabunge wote wanaolalamika Bunge kutoonyeshwa live ambao wako CDM na CCM

umeelewa au ninatwanga maji kwenye kinu
 
Mzee wa kubong'oa..
Wasalimu wale Wachawi uliojiunga nao..
Kazeni uziii mtuloge hadi tuwe machizi...
 
Soma kwa makini nilichoandika na rudia ulichoandika baada ya hapo jiulize hilo swali lako la mwisho, baada ya hapo utaona nani anatwanga maji kwenye kinu....Husipoelewa soma tena na tena...
 
Mnapata shida sana..ugomvi uko kwenye kudai kama haki...na pe lendekezo langu lina simama. Badala ya kususa i gepigwa kuwa wabunge waamue. Lakini huwezi kudai kuwa ni haki. Na inawezekana kweli wanataka kutuloga! ..suala ni suala la haki...Ni vizuri. Kuona mijadala lakini huwezi kudai kuona kama suala la haki. Mnaofikiri nimejigeuka ni kwa sababu hamnisomi. Sijasema mahali popote sasa hivi kuwa si nambo jema au haifai bunge kuoneshwa "live" napo wengine kutokana na kufikiri nimesema nini wanashindwa kuelewa nilichosema.
Mzee Muungwana akivuliwa nguo huchutama.Mabandiko yako haya mawili ni mabandiko ambayo mtu akipewa asome huku jina la mwandishi likiwa limefichwa,atakachokiona ni watu wawili tofauti kabisa,huku mmoja akiwahamasisha wananchi wakatae haki yao kupokwa,huku mwingine akiwa ni kada kindakindaki ambaye anajaribu kuweka mazingira mazuri ya bunge kutokuoneshwa na akiweka na vitu vya kisapoti uhamuzi huo kwamba kwanza si haki ya kikatiba kuona bunge live hivyo uhamuzi huo ni sawa kabisa.
 
Mnapata shida sana..ugomvi uko kwenye kudai kama haki...na pe lendekezo langu lina simama. Badala ya kususa i gepigwa kuwa wabunge waamue. Lakini huwezi kudai kuwa ni haki. Na inawezekana kweli wanataka kutuloga! ..suala ni suala la haki...Ni vizuri. Kuona mijadala lakini huwezi kudai kuona kama suala la haki. Mnaofikiri nimejigeuka ni kwa sababu hamnisomi. Sijasema mahali popote sasa hivi kuwa si nambo jema au haifai bunge kuoneshwa "live" napo wengine kutokana na kufikiri nimesema nini wanashindwa kuelewa nilichosema.
Hivi we jamaa unatuchukuliaje sisi wanajf? Hivi unatuona kama vilaza fulani hivi siyo? Hebu kaa chini uangalie spirit ya post hii ya 2013 na ulinganishe na spirit iliyopo kwenye post yako ya hivi karibuni kuhusu jambo lilelile na utuambie kama spirit zinafanana!
 
Soma kwa makini nilichoandika na rudia ulichoandika baada ya hapo jiulize hilo swali lako la mwisho, baada ya hapo utaona nani anatwanga maji kwenye kinu....Husipoelewa soma tena na tena...

aisee! haujajibu kitu

naomba writeup ya mbunge yeyote wa upinzani au ccm aliyplekea mahali popote pale humu ndani ili TBC ionyeshe matangazo! just that

yaani usikite Alinda mimi na wewe tuko pamoja haunielewi tu, ila hao wawakilishi wetu ndio hawafanyi wajibu wao

halafu at the end, mwanakijiji ndio anakuwa kama ndio Mbowe mwenyewe
 
naona una kazi sana kumuelewa mwanakijiji

ulalamishi wa raia wa kawaida , wewe au mimini tofauti na mbunge yeyote yule

Mbunge anaweza

kuandaa mswaada na akaupeleka bungeni na ukajadiliwa na mawazo yatakayotoka pale itakuwa ni bunge limeamua
tangu mwaka jana hakuna jitihanda zozote zilizofanywa na mtu yeyote za kuifanya TBC ionyeshe matangazo! mbunge anatakiwa atumie nguvu lakini sio kulalamika kana kwamba ni HAKI wakati haijaandikwa mahali popote na mwenye nguvu ya kufanya iandikwe mahali ni huyo mlaamikaji!!

Mbowe na timu yake wanalalamika sawa kabisa na kapuku fulani mzururaji barabarani ja hakuna namna ya kisheria ku isukuma serikali ionyeshe?

Lakini pili, hakuna mbunge anayewza bunge kuwa na TV yake au na bajeti yake ili watafute chombo kingine cha habati mbali ya TBC na waonyeshe matangazo?? kumbuka kuna ulalamishi wa mhimili mmoja kuingilia mwingine

hauoni TBC kama chombo cha serikali kinashinikizwa na bunge na huu ni muhingiliano wa mihimili?

Neleze , niambie , kama umewahi kusikia, au kama limewahi kufanyika, je matangazo ya bunge kwa siku ni sh ngapi? na je bunge haliwezi kulipa? na kama hela haipo kuna jambo limefanyika kuipata hiyo hela??

nimewaza kama kwenye akili timamu zaidi ya wabunge wote wanaolalamika Bunge kutoonyeshwa live ambao wako CDM na CCM

umeelewa au ninatwanga maji kwenye kinu
Hatujamuelewa mwanakijiji kwamba mnaokubaliana na hili mmebong'oa au?

Mimi nimemwelewa kuwa tukikubali bunge lisioneshwe live tuwe tayari kubong'oa. Na kama wewe umewakubalia it means umebong'oa mbele yao.

Mimi sipo tayari kubong'oa

No thank you msitufanye watoto wadogo post inajieleza haihitaji tafsiri yako
 
Hovyo kabisa....watanzani unafiki na njaa zitatumaliza,huyu mwanakijiji hovyo kabisa
 
Ogopa kitu kinaitwa Internet&Servers. Ukitupia vitu humo ndani, kama huna access ya ku-delete na ku-demagnetise hiyo serving devise, basi iko siku uliyoyandika au ku-upload yatakurudi. Hili liwe somo na kwa wengine!
 
Duuuuh!
Sio dhambi kuhama zehebu, sio dhambi kubadili dini, sioni kosa lolote la mtu kuhama chama, ila hakuna dhambi mbaya kama ya unafiki. Mzee Mwanakijiji sikutarajia uwe mnafiki kiasi hicho, nikiri tu kwamba ungeweza kabisa kubadilisha gia angani na kuweza kupita kwa kasi gari lako la awali kuliko kulipiga pasi ya chuki utafikiri hujawahi kuwa ndani ya hilo gari,
 
naona una kazi sana kumuelewa mwanakijiji

ulalamishi wa raia wa kawaida , wewe au mimini tofauti na mbunge yeyote yule

Mbunge anaweza

kuandaa mswaada na akaupeleka bungeni na ukajadiliwa na mawazo yatakayotoka pale itakuwa ni bunge limeamua
tangu mwaka jana hakuna jitihanda zozote zilizofanywa na mtu yeyote za kuifanya TBC ionyeshe matangazo! mbunge anatakiwa atumie nguvu lakini sio kulalamika kana kwamba ni HAKI wakati haijaandikwa mahali popote na mwenye nguvu ya kufanya iandikwe mahali ni huyo mlaamikaji!!

Mbowe na timu yake wanalalamika sawa kabisa na kapuku fulani mzururaji barabarani ja hakuna namna ya kisheria ku isukuma serikali ionyeshe?

Lakini pili, hakuna mbunge anayewza bunge kuwa na TV yake au na bajeti yake ili watafute chombo kingine cha habati mbali ya TBC na waonyeshe matangazo?? kumbuka kuna ulalamishi wa mhimili mmoja kuingilia mwingine

hauoni TBC kama chombo cha serikali kinashinikizwa na bunge na huu ni muhingiliano wa mihimili?

Neleze , niambie , kama umewahi kusikia, au kama limewahi kufanyika, je matangazo ya bunge kwa siku ni sh ngapi? na je bunge haliwezi kulipa? na kama hela haipo kuna jambo limefanyika kuipata hiyo hela??

nimewaza kama kwenye akili timamu zaidi ya wabunge wote wanaolalamika Bunge kutoonyeshwa live ambao wako CDM na CCM

umeelewa au ninatwanga maji kwenye kinu
Kwanza nataka nijue kama umebong'oa au la.

Pili kwa nini unalazimisha TBC. vipo vituo vingi tu binafsi vimenyimwa hata kuingiza camera Bungeni hiyo maana yake nini?

Kumtetea MM Ni sawa na kula Mavi.
 
Hebu ngoja nimuite pengine anasubiri Mwaliko rasmi...@Mzee mwanakijii....Unaitwa huku jamaa wamefukua Kaburi

Hahaha! Rais anatuomba ndani ya chama tusifukue makaburi nyie mnafukua nimecheka Sana!!! Haya kaburi ndo hilo lishafukuliwa sijui umetoka msukule ama namna gani!
 
Kwanza nataka nijue kama umebong'oa au la.

Pili kwa nini unalazimisha TBC. vipo vituo vingi tu binafsi vimenyimwa hata kuingiza camera Bungeni hiyo maana yake nini?

Kumtetea MM Ni sawa na kula Mavi.

aisee! uko vizuri kwenye matusi

Hivyo vituo vingine vimezuiwa kwa kwa sheria gani mkuu?
 
Kijana hacha kujitoa ufahamu, wakati unajipinda kuandika hii nakala ndefu na vibwagizo vya kejeri hakufahamu kuwa unachodai si haki? Huu unafiki mpaka lini jamani yaani kijana mdogo kamawewe unajitoa ufahamu kwa ajiri ya tumbo lako..
Adui yako usimuombee majambaz Muombee NJAA kwisha habari yake
 
yaani solution na way foward hamna hapa, watu wana rely kwenye post ya mwanakijiji! baaasi! si wabunge si rai hakuna aliyeonyesha njia gani ifuatwe na nini kifanyike

tunaishia kulalama na kutafuta wachawi
 
Mnapata shida sana..ugomvi uko kwenye kudai kama haki...na pe lendekezo langu lina simama. Badala ya kususa i gepigwa kuwa wabunge waamue. Lakini huwezi kudai kuwa ni haki. Na inawezekana kweli wanataka kutuloga! ..suala ni suala la haki...Ni vizuri. Kuona mijadala lakini huwezi kudai kuona kama suala la haki. Mnaofikiri nimejigeuka ni kwa sababu hamnisomi. Sijasema mahali popote sasa hivi kuwa si nambo jema au haifai bunge kuoneshwa "live" napo wengine kutokana na kufikiri nimesema nini wanashindwa kuelewa nilichosema.
Sijui nikutukane tuuu,dah...umekera binadamu mwenzangu!
 
Back
Top Bottom