makubwa!!! ni wewe kweli au kuna muhuni ame hack acc yako?Shida nini mama? Au anafanya makosa mengine ambayo hayavumiliki? Hebu tuelezee vizuri. Maana kutaka kumuacha mwanaume kama huyo bila kosa siyo hali ya kawaida ni pepo hilo.
hahahah huyo ni wangu wa hubani mzee baba huyo kitamsaliti kifo changu tu ila im there to stay😆😆😆 si unajua visasi vyao kitanziUsimsaliti atajinyonga bure Mzee baba ukaishia umwelani
Kwa hiyo ulitaka akuhiti and go[emoji23]Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.
Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.
Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.
Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.
Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.
hahahah leo wahuni hatuamini kama huyu ni yeye kweli 😆😆😆!!! Kunayo namnamakubwa!!! ni wewe kweli au kuna muhuni ame hack acc yako?
Mimi mwenyewe nimeshangaa mkuu nikajua nimesoma vibaya maoni yake na hizi pombe kichwani kumbe ni yeyemakubwa!!! ni wewe kweli au kuna muhuni ame hack acc yako?
Naunga mkono hoja,atafute mwanume anayempenda...ila ajue tu kuwa Anabeti. Mkeka unaweza kuchanika.Wengi humu if watakuponda na kukulaani ila mm binafsi nimekuelewa sana, hujawahi kuvutiwa na huyo mwanaume, tafta mwanaume unaempenda ujitongozeshe..huyu usiempenda muache, maana naona huna uvumilivu wa kuishi na mwanaume usiempenda kama wanawake wenzio.. Uvelia
Naunga mkono hoja,atafute mwanume anayempenda...ila ajue tu kuwa Anabeti. Mkeka unaweza kuchanika.Wengi humu if watakuponda na kukulaani ila mm binafsi nimekuelewa sana, hujawahi kuvutiwa na huyo mwanaume, tafta mwanaume unaempenda ujitongozeshe..huyu usiempenda muache, maana naona huna uvumilivu wa kuishi na mwanaume usiempenda kama wanawake wenzio.. Uvelia
You don wanna marry him while you already cohabit with him matrimonially and the dude plays all the husband's roles that you've been enjoying for two good years! Now you are here seeking for the validation of your devilish decision of dumping a poor guy whom you claim you have never been in love with despite all his good deeds to you.
Girl, as you say you never loved him(of course it's true) you actually spent your time with him b'se of his commitment and subservient actions to you. Now there is huge possibility that guy is in tough financial situation whereby your selfish ass tells you to leave coz the pool of milk is about to go dry.
Kama kweli ulikuwa humpendi kwanini usingemwambia tangu mapema kabla hajaji commit kwako kiasi hicho? yaani umesubiria aishiwe ndio unajifanya humtaki? wanawake kama wewe ndio mnaofanya wanaume wawe heartbreaker kwenye mahusiano.
Once you dump that poor nigga dont expect him to be the same! i cant imagine the amount of venom your fellow woman next to date that guy will face.
Halafu nyie wanawake wa siku hizi mna vihere vihere sana, aliyekwambia kwamba kwenye ndoa mwanamke ndio anapenda kwanza sijui nani..!!!?
Let the poor girl prepare to fry her own ass after a short while with her poor decision which i really feel it bases on selfish grounds.
The next lady will face the grievances that stem from this dying relationship which weren't even supposed to be part of her new love journey.
A see!! hata mimi imebidi ninawe uso kwa mara ya pili hili nisome tena yawezekana labda nimesoma vibayaMimi mwenyewe nimeshangaa mkuu nikajua nimesoma vibaya maoni yake na hizi pombe kichwani kumbe ni yeye
Au labda wana bifu na huyu mleta mada hakika sio burehhahaha
hahahah leo wahuni hatuamini kama huyu ni yeye kweli [emoji38][emoji38][emoji38]!!! Kunayo namna
Hahahahahahaha mie sipo hivyo.... Najua nataka niniHao ndio wanawake bwana
Sifa yao kubwa ni kwamba ---hata wao wenyewe hawakijui wanachokitaka
Kinachoenda kutokea baada ya kuachana na huyo anajua MUNGU, maana yake dah....Kwenye mapenzi hakuna huruma, vyovyote utakavyoondoka utamuumiza.
Ila utakakoenda hutapata aina ya mwanaume kama huyo, anayebeba majukumu yote hayo, anayekupenda kiasi hicho. Hili nakuhakikishia.
Kinachoenda kutokea baada ya kuachana na huyo anajua MUNGU, maana yake dah....
Hahahahahahaha mie sipo hivyo.... Najua nataka nini