donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Kwa kawaida mwanaume wa maana akijitahidi sana yaani yule ambae ni muaminifu kabisa na ana heshima zote, basi atakua na wanawake angalau watatu hivi. Anaweza kuwa anakula mmoja, ila hao wawili wako stand by mda wowote akiwahitaji anajua atawala.Salaam wakuu,
Straight to the point. Asilimia kubwa tumeshawahi kuumizwa katika maswala ya relationships, haijalishi jinsia ke au me. Unajikuta umejitoa kimasomaso kwaajili ya MTU ukiamini ndiye the right person for you lakini he/she ends up hurting your feelings. Nimefanya tafiti yangu isiyo rasmi nimegundua kwamba katika mahusiano shurti uwe na plan B (wanasemaga kidumu). Hii inasaidia incase plan A fails, unahamishia nguvu zako kwenye palm B. Hii hulka nimegundua wenzetu jinsia ke wanayo sana (samahanini jamani) unakuta mwingine ana mpaka plan G. Imagine umetokea kumpenda MTU kwa moyo wako wote then mpaka ndugu umewataarifu kua umempata MTU sahihi and then anakuja kukengeuka ghafla na kuku-dump. It really hurts a lot lakini at least ukiwa na ka plan b kako you won't endup a total loser.
On the record, sichochei watu wacheat kwenye mahusiano yao but according to my personal view Naona ni vyema kua na backup plan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gaoro ipo nchi ganiVp mvua huko gaoro bado inanyesha mkuu au??[emoji1787][emoji1787]
yess BiShoo haswaaAaa
[emoji28][emoji28][emoji28]Kwa kawaida mwanaume wa maana akijitahidi sana yaani yule ambae ni muaminifu kabisa na ana heshima zote, basi atakua na wanawake angalau watatu hivi. Anaweza kuwa anakula mmoja, ila hao wawili wako stand by mda wowote akiwahitaji anajua atawala.
Kwa upande wa mwanamke, kama ni mzuri wa sura na ana chura, basi at any time T ana wanaume zaidi ya 100 ambao wako stand by na wanamsumbua wakitaka kuwa nae. Katika hao, kuna wanaokula kimasihara, kuna wanaokula kawaida, kuna wahongaji, kuna wanaojidai washkaji ila nia yao nao ni kula, na kuna mazuzu wapo wapo tuu hawajielewi kazi yao ni kutuma tuma meseji za usumbufu.
Vp mvua huko gaoro bado inanyesha mkuu au??[emoji1787][emoji1787]
yess BiShoo haswaaAaa
Ni kweli kabisa mkuuKwa kawaida mwanaume wa maana akijitahidi sana yaani yule ambae ni muaminifu kabisa na ana heshima zote, basi atakua na wanawake angalau watatu hivi. Anaweza kuwa anakula mmoja, ila hao wawili wako stand by mda wowote akiwahitaji anajua atawala.
Kwa upande wa mwanamke, kama ni mzuri wa sura na ana chura, basi at any time T ana wanaume zaidi ya 100 ambao wako stand by na wanamsumbua wakitaka kuwa nae. Katika hao, kuna wanaokula kimasihara, kuna wanaokula kawaida, kuna wahongaji, kuna wanaojidai washkaji ila nia yao nao ni kula, na kuna mazuzu wapo wapo tuu hawajielewi kazi yao ni kutuma tuma meseji za usumbufu.
Anayefanywa plan B huwa mara nyingi anajua. Ukianza kumfanya plan A, anaishia zake. Hataki stress!Salaam wakuu,
Straight to the point. Asilimia kubwa tumeshawahi kuumizwa katika maswala ya relationships, haijalishi jinsia ke au me. Unajikuta umejitoa kimasomaso kwaajili ya MTU ukiamini ndiye the right person for you lakini he/she ends up hurting your feelings. Nimefanya tafiti yangu isiyo rasmi nimegundua kwamba katika mahusiano shurti uwe na plan B (wanasemaga kidumu). Hii inasaidia incase plan A fails, unahamishia nguvu zako kwenye palm B. Hii hulka nimegundua wenzetu jinsia ke wanayo sana (samahanini jamani) unakuta mwingine ana mpaka plan G. Imagine umetokea kumpenda MTU kwa moyo wako wote then mpaka ndugu umewataarifu kua umempata MTU sahihi and then anakuja kukengeuka ghafla na kuku-dump. It really hurts a lot lakini at least ukiwa na ka plan b kako you won't endup a total loser.
On the record, sichochei watu wacheat kwenye mahusiano yao but according to my personal view Naona ni vyema kua na backup plan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaruka had plan ZNa plan B ikafail unaenda wapi?!
Ila mazuzu wengi jaman wanajaa kwenye abood mbili na BM moja.Kwa kawaida mwanaume wa maana akijitahidi sana yaani yule ambae ni muaminifu kabisa na ana heshima zote, basi atakua na wanawake angalau watatu hivi. Anaweza kuwa anakula mmoja, ila hao wawili wako stand by mda wowote akiwahitaji anajua atawala.
Kwa upande wa mwanamke, kama ni mzuri wa sura na ana chura, basi at any time T ana wanaume zaidi ya 100 ambao wako stand by na wanamsumbua wakitaka kuwa nae. Katika hao, kuna wanaokula kimasihara, kuna wanaokula kawaida, kuna wahongaji, kuna wanaojidai washkaji ila nia yao nao ni kula, na kuna mazuzu wapo wapo tuu hawajielewi kazi yao ni kutuma tuma meseji za usumbufu.
Salaam wakuu,