Mfamaji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2007
- 6,629
- 1,950
bravo dada huyu wa kichagga,very smart! nipe kontakt yake nimpongeze kwa kudumisha mila!
Mi nilikuwa na girlfriend kutoka Marangu kwa miaka miwili akanishawishi nimkopeshe milioni 6 naye alikuwa anazo kidogo afungue duka,akasema atanilipa polepole.Baada ya muda akaanza vituko na ugomvi usiokuwa na kichwa wala miguu tukaamua kuachana,baada ya miezi sita nikaulizia zile hela nilizomkopesha akadai simdai kitu nimemtumia miaka miwili na hatujaandikiana chochote.
sasa hapo mwenye makosa ni nani? Sio wanawake tu , hata wanaume wapo warushi. Jifunze kukopesha kwa akili zaidi ya ngono. Mkiambiwa wako smart na hawakubali kufail mnabisha. Sasa mtaji anao .