I am sorry mabinti wa kichagga

I am sorry mabinti wa kichagga

Status
Not open for further replies.
Nasikia pia hawa mabinti wa kichaga hata kwenye mambo ya ndani (mapenzi) huwa sio wachangamfu kidogo, huwa wanakuachia tu mzee unahangaika peke yako, je mwenye ukweli au habari sahihi juu ya hili jamani auweke hapa.
si kweli hata chembe,shughuli yao pevu(hasa akiamua).
 
dugu yangu bana niulize mie, ninae mmoja hapo south ni hatari kutoka kibosho kama gogo kitandani !!!!nimekoma ninanatafuta mbinu nichomoke!!!!!
Kijuso,huyo demu wako haingii Jf? maana.......
 
Mbona mnawasema wachaga tu,na mabinti wa kimanyema je? maana nasikia 80% ya nyumba za Kariakoo ni za mama wa kimanyema.
 
Mguu wa bia? kuna mwanamke wa kichaga mwenye mguu wa bia?ndugu we sema tu wana sura nzuri na wengi wao ni weupe lakini la mguu no!

acha kushabikia umbea ww!wangapi ulishawaona wakiwa hawana hiyo miguu??vua miwani yako ya mbao uone mbele!
 
Nyie watu wengine wa JF mnaboa kishenzi!Mnaleta mineno yenu ya kizushi hapa isiyo na ushahidi wowote!mara miguu iko hivi...kitandani wako vile...roho zao mbaya(ume2mia kipimo gani hapo...ww ndo mwenye hiyo roho mbaya)...mara wao pesa 2(kama ww hiyo pesa huimaind siulale usiende kazi 2one utaishia wapi).Wengi wenu mnaokandia utakua misura mibaya(hata kina dada wanaojifanya ni kweli nimeona..we una miguu ya bia au ndo toothpick kabisa???)...hamna maendeleo sasa mkikataliwa mnaaanza kuongelea yule demu anavyomaind mshiko(unataka akae na m2 asie na lolote ili akulishe yeye ama??MAN UP!!)Kwakuongezea unavyosema kitandani sijui anakua gogo(je ushajaribu asilimia 90 ya wasichana wakichaga na wote wakaangukia hapo??ww nani kakwambia unajua sana???maybe ulikua unamboa 2 ndo maana akajituliza so kaeni kwanza mjiangalie kabla hamjatoa maneno ya kimbea maana wengi wenu ni wa he said this n he said that!Aibu zenu....jadilini mambo yenye maana na mkue vile vile!
 
acha chuki binafsi ww!!hujatakwa ila umetaka ukakataliwa ndo unaleta maneno hapa!

Mimi mtakwaji ndo nakwambia, ka unabisha, bisha!!! hulazimishwi.
Kabila gani wanaweka maslahi binafsi mbele((
 
hahaha.....nyie wote mnaosema mabinti wa kichaga hawajui majamboz washamba....miaka ileeeeeee ya enzi zileeee ndo ilikua hivo. siku hizi mabinti wengi wamezaliwa hapahapa bongo...wamekua na wazalamo makabila mchanganyiko, ukizingatia na gemu wanalianza mapema, so wanakuwa na experience kubwa sana... kwa upande wa uwanjani ni balaaaaaaaaaaaaa wake up body!!!!!!!!
 
ahahahha...10years after nyerere...TUNADWELL KWENYE MADA ZA MAKABILA?!!!!1...UKABILA?!!!!!...UDINI?!!!!!....KAZI IPO HAPA.....

nahitimisha mjadala...TUSIJADILI MATATIZO YA MTU MMOJA KWA KU-GENERALIZE KABILA AU HATA RANGI AU DINI YA HUYO MUHUSIKA MMOJA...TUNAFANYA MAKOSA MAKUBWA SANA KAMA ALIYOYAFANYA HITLER KWENYE WORLD WAR 2....

kwa heshima ya Mwl. NYERERE...naomba tufunge mjadala/mdahalo huu maana HAUJENGI bali UNABOMOA
 
Wachagga wa wapi hao? Maana Wachagga wako wa Machame, Kibosho etc. Halafu una ushahidi gani kwamba hizi habari ni za Wachagga tu? Na wala si za watu fulani wenye historia fulani?

Ina maana hata nikikutana na Mchagga aliyelelewa na kukulia kiwanja atakuwa hivyo ?
 
watu wakikosa ya kuonge autawajua tu, topc za ajabu ajabu kwani lazima muowe wachaga si mkaoe kwenu huko pwani kama wamachame wamewashinda, nimeboreka mno
 
Sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichagga sio wa kuoa, kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. Na wanatumia mapenzi kama fimbo.

Sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. Nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachagga ndoa zikoje?

Siyo wachaga wote wanaangukia kundi hilo ingawaje wengi wao ni "money-minded" sana..............
 
Nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii.

Kuna jamaa rafiki yangu sana ana mchumba wake ni mchagga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu. Sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichagga sio wa kuoa, kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. Na wanatumia mapenzi kama fimbo.

Sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. Nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachagga ndoa zikoje?

Hii ni kweli tupu mkuu, yaani ni wazuri wa sura na maumbo ila mapenzi yao makubwa ni kwenye pesa bana! ukikosa tu hakuna mapenzi te--tena babaaangu kweelii! Mie nshakuwaga na mademu wa kichaga kibao ila wao ni mizinga ya kukukwanyua pesa tu kweli they are loveless, heartless nenda kwa wahaya na wasukuma utapendawa mpaka uzirai
 
watu wakikosa ya kuonge autawajua tu, topc za ajabu ajabu kwani lazima muowe wachaga si mkaoe kwenu huko pwani kama wamachame wamewashinda, nimeboreka mno

Mademu wa kichaga ni wachakachuaji saaaanaaaaaaaaaa
 
kuna watu humu ndani wanakurupuka kujenga hoja, ila ndio sikatai lakini ao ni wanawake wa aina gani mnaokua na uusiano?? Ukiangalia kiundani tuyagundua uliingia kwa gia ya mahela yaani kujishoo kichokochoko, hivyo ni haki zenu kupigwa changa la macho.
Mimi upande wangu nshakua na wa makabila hayo msemayo ni mazuri japo baazi, ila kiukweli funga kazi ambao hawafai ni wapare..
Kwa sasa nina mchaga yan yupo vizuri hana tatzo ni mchumba kwa mda wa miaka miwili, mana uwa natoka nduki nkigundua nachakachuliwa kwenye penzi..... twnde mbele turudi nyuma wanajituma katika kuangaika na maisha..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom