MwalimuZawadi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2007
- 643
- 68
Hapa Statistics hazina nafasi, hawa mademu wa Kichagga ni sumu!
Hata wewe umesema haya mkuu?
Hapa Statistics hazina nafasi, hawa mademu wa Kichagga ni sumu!
Kweli kila kabila lina sifa zake kama ambavyo tuliweza kuzungumzia kabila la wahaya lakini all in all wanawake wa kichaga sumu wao ni pesa mbele wala si utu. Ndio ni mabingwa wa kutafuta pesa kwamba wanahangaika kutafuta maisha lakini uliza anamtafutia nani hayo maisha kama si yeye na familia yake aliyoacha kwao mwanaume hafaidi kitu zaidi ya kunyonywa na pengine kufilisiwa kabisa..angalia wanawake wa kichaga walioachana na waume zao kikubwa utaambiwa mzee kaishiwa mwanamke ameanza anaangalia ustaarabu.Hawa ni sumu period!!
wanawake wa makabila yote ya tanzania baadhi yao wanafanya haya haya, lakini hawaonekani, lakini ngoja afanye mwanamke wa kichagga mnaanza kupiga blah blah zenu zisizokuwa na kichwa wala miguu. Hivi katika makabila 120 ya tanzania wanawake wenye tabia hizi ni wachagga tu na makabila mengine 119 yaliyobaki wanawake wao hawana tabia kama hizi!? Acheni hizo za kulishambulia kabila la kichagga kila kukicha.
Kweli kila kabila lina sifa zake kama ambavyo tuliweza kuzungumzia kabila la wahaya lakini all in all wanawake wa kichaga sumu wao ni pesa mbele wala si utu. Ndio ni mabingwa wa kutafuta pesa kwamba wanahangaika kutafuta maisha lakini uliza anamtafutia nani hayo maisha kama si yeye na familia yake aliyoacha kwao mwanaume hafaidi kitu zaidi ya kunyonywa na pengine kufilisiwa kabisa..angalia wanawake wa kichaga walioachana na waume zao kikubwa utaambiwa mzee kaishiwa mwanamke ameanza anaangalia ustaarabu.Hawa ni sumu period!!
Hii kali zaidi!
Hivi wachagga unawajua vizuri weye? Ushafika huko kwao unakosema wanatafuta pesa kupelekea familia zao?
JF ubaguzi kwa kwenda mbele - mara UDINI... sasa UKABILA.... WHAT NEXT?
Nimezisoma sana ... na ingekuwa thread yenye allegations nzito zenye maana katika jamii..hata mimi ningekuongezea zaidi kwenye hiyo list Mkuu.umesoma statistic zangu hapo juu?
Nimezisoma sana ... na ingekuwa thread yenye allegations nzito zenye maana katika jamii..hata mimi ningekuongezea zaidi kwenye hiyo list Mkuu.
Hiyo ni 2000...tukirudi nyuma kuanzia Uhuru.in the 60s hadi sasa .mbona pangekuwa hapatoshi maana hata wale waliokuwa wameoa huko kwao...waliwatelekeza wake zao na kujitafutia mamaaz kutoka hukohuko .....wapo pia walioamua kuwa na angalau an associate for the purposes of public appearance mradi ni kichekesho kitupu!..sasa hawa wanaoleta hizi porojoporojo za walivyotendwa..basi wakubali tu ni hali halisi ya maisha lakini siyo hulka za hawa wadada/wamama wa kabila fulani.
wanawake wa kichaga.wizi mtupu period.vera we mchaga nini?
Hiyo ni generalization sana...siyo kweli ...my wife ni mchaga, my mother ni mchagga sijaona tatizo for years acheni blablah...tabia mbaya ni mtu wala si kabila...umbea mtupu
Mi Mtanzania period! Sifagii ukabila,pamoja kutokuwa wa kabila hilo..napinga ubaguzi wa kila aina - udini, ukabila, na vitu vingine vinavyoashiria ubaguzi... we should transcend vitu kama hivi visivyo na maana yeyote kwa jamii zetu.Tutake tusitake hawa watu tutaendelea kuwa nao no matter how loud we speak against them.

.....Why you should speak againt them.
Are they too different from other women of this era? Or you are just trying to express your weakness on this issue
Watu wanapanda basi la ukabila,mtaishia pabaya.Wanawake wa kichaga wa siku hizi hawana mambo hayo,ni uzushi mtupu labda zamani waliokuwa hawajaelimika.Siku hizi tumejichanganya sana na watu wamebadilisha desturi za makabila yao hivyo ni tabia ya mtu mwenyewe.Acheni hisia mbovu.