I am sorry mabinti wa kichagga

I am sorry mabinti wa kichagga

Status
Not open for further replies.
Karne hii ni ya wachaga na wahaya? Mie nafahamu kuna Watanzania wa kaskazini au kusini. mmmm ukabila mpaka kwenye nanihi? too much mnawaonea sana? Au kwa kuwa wamendelea kuliko sisi wa sehemu nyingine? na ni kweli wako mbele!
 
Na sasa hivi asilimia kubwa za nyumba ndogo (80%) ninazozifahamu mie ni mabinti wa Kichaga jamani. sehemu nnapofanyia kazi kitengo cha watu kumi na nne watano tumeoa uchagani haha, harusi nyingi sana saa hivi utakuta bibi harusi ni mchaga. ktk ujana wangu mpaka naoa asilimia tisini ya ma ex wangu walikuwa wachaga sijui kwa nini, labda preference ya mwanamke anayenipagawisha inapatikana huko hahaha, anyway all in all kwangu mie kuna mambo mengi sana yanachangia watu kuwaona mabinti wa kichaga wazuri/wabaya.
Kuna jamaa yangu ni mchaga tunafanya naye kazi aliniambia kabla sijao tena akinitania SHEMEJI MIMI SIWEZI OA MWANAMKE WA KICHAGA SABABU NI WAKOROFI SANA. ALINIAMBIA KWAO UCHAGANI MABINTI WA KICHAGA HUPENDWA SANA NA BABA ZAO INGAWA KIMILA HAWANA HAKI KIIVYO, SO KUTOKANA NA HILO HUWA HAWANA UNYENYEKEVU SANA NA YEYE KAOA MSUKUMA WA SHINYANGA.
Wenzetu wachaga wamepiga sana hatua kielimu, kifedha so familia nyingi za huko hasa Marangu, machame nk utakuta mwanamke kwanza amekwenda shule vizuri, na hata kwao wanajiweza, hii inachangia sana mwanamke kuwa na msimamo nilishasikia siku moja nikiwa Marangu akina mama wakimzungumzia binti yao wanasema kuliko mwanangu ateseke atarudi nyumbani hata biashara ntamfungulia, so dhana kama hizi zinawafanya mabinti wa kichaga kutokuwa na unyenyekevu/heshima sometimes kwa waume zao hasa kama mwanaume unakotoka si familia bora km kwa mwanamke. vile vile makabila mengine wanawake hufunzwa jinsi ya kuishi na mume, kumnyenyekea na heshima tele, lkn Uchagani ni kicheni party hizi za mjini, Send off na Harusi kwisha kazi na kwa binti wa kichaga aliyetoka narudia tena kwenye familia bora wazeiya kama huna mkoko/Usafiri dah grade yako itakuwa chini sana hata kwenye vikao vyao vya family za huko ukienda hautakuwa na heshima kiivyo. Kutokana na uwezo wa hali bora basi hata watoto wanaozaliwa huko huwa BOMBA hii inafanya wanaume wengi wapende TOTOZ za kichaga ingawa kwa muonekano wa uzuri huo unaweza ukawa na matumaini mengi lkn yasiwepo na kuleta failures kwenye uhusiano/ndoa hiyo. Hasa pale ambapo malezi yanapokuwa tofauti, KM wewe ni msukuma/mngoni au kabila lolote lile kutokana na tamaduni za kwenu unajua kabisa mke lazima afuate misingi fulani labda ulishazoea kuona mama yako au pengine akina mama wa kabila lenu wanatabia ya kuamka asubuhi sana kabla hujaenda kazini anakuwekea maji, anakuamsha anakuwekea chai, nguo zinapigwa pasi mzee hata kama na yeye anafanya kazi lkn anawajibu wa kuamka kwanza kabla yako kurekebisha mambo, hii inakujenga akilini kwamba hata utakapooa mkeo atatakiwa afuate mfano kama huu, lakini pale mambo yanapokuwa tofauti basi mahusiano huanza kuwa si mazuri na kuhamishia lawama za jumla kwa kabila alilotoka mwenzi wako. Nilipokuwa ktk uchumba huyu mke wangu ambaye ni mchaga alikuwa akiniuliza vitu vingi sana kuhusu mapenzi, style za kubanjuana, na nilimkoleza kweli kweli unacheza tena na mtoto wa KINGONI hahahah sometimes alikuwa akimlaumu sana Mother wake Eti alikuwa akimfungia sana ingawa alikuwa na Boyfriend wake ambaye hunipaga sana story zao za wakati huo hahaha lkn nilimuona akiwa mgeni sana kwenye mambo mengi sana ya mapenzi na akishangaa waziwazi sometimes tunagombana nikizidisha anasema eti HUO NI UMALAYA. lkn sasa kazoea na maisha yanaendelea. Kweli Kutokana na maendeleo yalivyo kwao huko Moshi ukioa mtoto wa kichaga huna budi kutafuta maendeleo kwa udi na uvumba coz wanapokutana wao utaona kila wakati kuna mabadiliko km ni gari basi wameongeza moja km ni nyumba utasikia tumehamia au tunajenga mbezi, au fulani ka graduate chuo kikuu anakwenda masters nje, so hivi vitu vinafanya hawa mabinti sometimes wawe selective au kuwa frustrated km alipo hakuna maendeleo na sometimes kusababisha mahusiano kulegalega.
Kuna ex wangu mmoja yeye alikuwa ananiambia nianze kutafuta biashara ya kufanya coz baba yake anaendesha petrol stations hapa town na kaka yake ana import computers yeye ana kama 20 mil ktk mgao wa family so nianze kutafuta biashara ya kufanya imagine huyu alikuwa amemaliza form six tuu anasubiri kwenda chuo kitu alichoniambia ni kwamba ndugu zake wana NYODO za kupindukia so niwe tayari kuwakabili, mie nikaona hapa hapajakaa sawa sawa mtoto alipoenda soma UGANDA mie nikakata kamba kimtindo.
MWingne baada ya hapo alikuwa anasoma Muhimbili pale facult of medicine huyu alikuwa mpole sana lkn hakuweza fikia viwango nilivyojiwekea hahaha. Kuna mengi sana ambayo nime ya experience ha hii jamii ya kichaga niki yaandika hapa patajaa
 
Nna case mbili zinazofanana za dada zetu hawa wa kichaga, wana tabia ya UKALI wa maneno.KUna dada mmoja wa kichaga yupo kazini kwangu hapa alipata mchumba akatangaza vikao vya harusi ilipokaribia na harusi km mwezi hivi tukaona dada yetu hana raha kabisa, kumbe alikuwa keshagombana na mchumba wake. Kisa kilikuwa kumbe huyu dada wa kichaga alikuwa anamfokea sana mchumba wake kiu kikiwa kimekwama kidogo kwenye maandalizi huyu dada hana subira atamfokea jamaa yake, siku ya siku alimfokea na kumuita MJINGA mtarajiwa MUME wake mbele ya WAKWE na ma wifi zake nyumbani kwa MUME ake mtarajiwa, jamaa akaona hapa ni uchumba tuu mambo hivi je ndoa itakuwaje? akaona isiwe tabu jamaa aka call off ile wedding na michango ilikuwa tayari kila kitu- ingawa jamaa alishamsomesha sana huyu demu kuhusu tabia yake lkn mazoea hujenga tabia basi mpaka leo demu hajaolewa

Wa pili huyu yupo single naye ni worker mwenzangu, mara nyini huwa namsaidia saidia akikwama kwenye system, lkn kauli zake nazo ni za amri amri tuu, yaani ule u tender love wa mademu km wa kitanga au pwani pwani hakuna akija ni amri amri fanya hiki nataka hiki, na alikuwa na jamaa yake ameenda bukua US, kwa mujibu wa watu wa karibu yake tabia ni hiyo hiyo jamaa anakaripiwa tuu, nasikia one day alienda tafuta shamba Bunju huko akambeba demu huyu, jamaa hakufanikiwa kununua kisa demu kila sehemu jamaa anayoona inamfaaa demu anaiponda na kumpaka jamaa eti wanamuibia bei kubwa mara kwa nini usiende ardhi basi ni visa tuu. huyu naye hatma yake na huyo jamaa haieleweki. Sijui lkn nimekaa karibu miko saba hapa TZ lkn mwanamke kuwa mshari namna hii ni wachaga tuu ndo wanakuwa hivi, hata ukienda moshi akina mama wa kicha duh wachungu balaa.
 
Mungu aliumba wayahudi na waCHAGGA, waliobaki wote ni product za Taiwan...
 
Mi nilikuwa na girlfriend kutoka Marangu kwa miaka miwili akanishawishi nimkopeshe milioni 6 naye alikuwa anazo kidogo afungue duka,akasema atanilipa polepole.Baada ya muda akaanza vituko na ugomvi usiokuwa na kichwa wala miguu tukaamua kuachana,baada ya miezi sita nikaulizia zile hela nilizomkopesha akadai simdai kitu nimemtumia miaka miwili na hatujaandikiana chochote.
 
Ubaguzi ndani ya ubaguzi! Nguli unasemaje mkuu?

Wachaga ni zaidi ya wajuavyo, kesho na sisi tunakuja na thread WAHAYA/wakorawetu wote ni ma*&8(---->). Ila sisi tupige kazi na kuona mbali wao waendelee kuwaona negatively dada zetu...ukabila! Ukabila! Ukabil! Udini. Mmesahau hata nchi haina umeme, Mmeshau wenzetu Pemba wanalala kwa wasix2. Mmesahau njaa inauwa watu dodoma na Tanga. Mmesahau nyinyi ni wa TZ. mmesshau kuwa hata mnasoma haya nilioandika na mmesahau kuwa mko JF home of great thinkers......
 
Wachaga ni zaidi ya wajuavyo, kesho na sisi tunakuja na thread WAHAYA/wakorawetu wote ni ma*&8(---->). Ila sisi tupige kazi na kuona mbali wao waendelee kuwaona negatively dada zetu...ukabila! Ukabila! Ukabil! Udini. Mmesahau hata nchi haina umeme, Mmeshau wenzetu Pemba wanalala kwa wasix2. Mmesahau njaa inauwa watu dodoma na Tanga. Mmesahau nyinyi ni wa TZ. mmesshau kuwa hata mnasoma haya nilioandika na mmesahau kuwa mko JF home of great thinkers......

Mbona Nguli unatuua wahaya tena?
 
Eh poleni kwa wote wawili kuingia zizi la simba badala ya kuingia zizi la ng'ombe,mmepotea njia ,huko Kenya Wachaga wanandugu zao wanaitwa Wakikuyu nao ukipata mabinti zao unakuwa ndo mwanzo wa kutoboka mifuko kwa saaana.na mchaga toka lini akao/akaolewa na Chiasaka?
 
To every rule there is an exception. Hata kama majority ya wanawake wa kichaga kweli wako hivyo nina uhakika kuna wachache ambao watakua an exception. Ikija kwenye kuoa au kuwa na mpenzi unakua nae mmoja siyo kabila zima. Kwa hiyo ukitaka kuwa na msichana/mvulana usiangalie kabila lake bali angalia tabia yake binafsi. Mimi personally nina ndugu wengi wameoa wachaga na bibi yangu akaja kuniambia mjukuu wangu usije ukaleta mchaga maana mh tume yaona. Kwa hiyo yanayo semwa hapa yanaweza kuwa kweli maana nimesha yasikia sana tena at a more personal level. With that said kama umependa mtoto wa kichaga au una mpenzi mchaga try to look for the exception. Ukiona ni wale wale move on.
 
Wanawake wa kichaga wana amri kama baniani mhindi..Wakorofi hawana ustaarabu hata kidogo...tumeishi nao tumekuwa nao na bado tunao tunafanya nao kazi etc.tunawafahamu vilivyo wengi wao wana tabia mbovu mbovu.. Anyways lengo si ukabila hapa ni reality...wanawake wa kichaga sumuuuuuu!!!
 
Kauchunguzi nilikofanya haraka nimegundua kuwa hapa JF wengi ni wachaga.

Ukweli ni kwamba, wanawake wakichanga ndivyo walivyo.

Nina mifano miwili ya nguvu.

1. Baba ameoa mchaga, baba alianza kustaafu, marupurupu yote wamekula na mama. Mama amestaafu late, akaja na sheria kuwa eti kila mtu aishi kivyake na kula vyake. Baba alifukuzwa nyumbani, aliondoka na begi la nguo tuu. Imagine. Hapo anapoishi baba sasa hivi utamhurumia, yupo peke yake huko mashambani. Mama anaishi kwenye nyumba self contained, hataki kumwona baba, hataki baba akae na ndugu au mtu wa kumsaidia kazi. ukizingatia siku zote wakiishi huyu baba alisahau alikotoka. Hakuwatambua ndugu zake kisa sikijui (mnaweza kunisaidia).

2. Rafiki yangu alioa mchaga, mke kaanza vituko, kaondoka home, kaenda mahakamani kudai mali igawanywe.

Kwa kweli inatisha na inasikitisha, kama wanawake wote TZ watakuwa hivyo basi wababa tumekwishaa.

Kwa ujumla tuyatafakari haya, aliyelileta humu JF siyo kwamba ameibuka tu na chuki kwa mchaga, ila moto wa figa alilokalia umemchoma.
 
KAMA WANAWAKERA NAMNA HIYO WATENGENI KWAKUTOKUWAOA.
Mkiendelea kulalamika huku bado mnawafuata wenyewe si ni unafiki? tANZANIA INA MAKABILA ZAIDI YA 120..KWANI JAMANI HAMUYAONI HAYO MENGINE?
 
Sio wachaga wote wabaya wajamani, kuna warombo mbona wazuri tu.
 
acheni blabla,wote mnaokandia huenda mna mademu au mmeoa wachaga na hamwaachi.Binafsi nawafagilia sana pamoja mimi siyo mchaga,kwanza wanajichanganya sana halafu ni wabunifu verry creative lazima akuamshe dilli ya kutafuta pesa.nyie mnaosema ni kama gogo labda mna wachaga wa huko kishimundu,lakini hawa wa mwenge asikuambie mtu,kulala kama gogo ni karibu makabila yote ya bara ukiondoa wachache kama wanyamwezi na wale wa pwani msiwaonee wachaga wetu wanabembeleza sana
 
Mi nilikuwa na girlfriend kutoka Marangu kwa miaka miwili akanishawishi nimkopeshe milioni 6 naye alikuwa anazo kidogo afungue duka,akasema atanilipa polepole.Baada ya muda akaanza vituko na ugomvi usiokuwa na kichwa wala miguu tukaamua kuachana,baada ya miezi sita nikaulizia zile hela nilizomkopesha akadai simdai kitu nimemtumia miaka miwili na hatujaandikiana chochote.

bravo dada huyu wa kichagga,very smart! nipe kontakt yake nimpongeze kwa kudumisha mila!
 
its not true, tabia mbaya ni mtu mwenyewe. kama umeona hawakufai ni wewe peke yako usifanye majumuisho namna hiyo sio wote wako hivyo. Wachagga ni kabila nzuri tu na linasifika kwa maendeleo na pia wanadumu katika ndoa zako. kama ulifanyiwa vibaya na mwanamke wa kichagga wako waliofanywa vibaya na makabila mengine kuliko wewe.
 
bravo dada huyu wa kichagga,very smart! Nipe kontakt yake nimpongeze kwa kudumisha mila!

sasa hapo mwenye makosa ni nani? Sio wanawake tu , hata wanaume wapo warushi. Jifunze kukopesha kwa akili zaidi ya ngono. Mkiambiwa wako smart na hawakubali kufail mnabisha. Sasa mtaji anao .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom