Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
hapo hom-boi umenigusa kwelikweli,maanake shemeji yako ni mchaga wa rombo
Katekista vipi dada yetu huyo, anakupa ile kitu roho inataka au ndio blabla kama wanazosema watu humu jamvini?
hapo hom-boi umenigusa kwelikweli,maanake shemeji yako ni mchaga wa rombo
Katekista vipi dada yetu huyo, anakupa ile kitu roho inataka au ndio blabla kama wanazosema watu humu jamvini?
yupo vizuri mazee,mkuu fidel anamjua,na mkuu georgie porgie anamfaham sana (KWA MUONEKANO LAKINI)
talking of bed bussiness!.........SHE IS THE BEST FOR ME.sijui wewe na mpare wako!.hehehehe
Geoff, hapo kwenye kumjua na kumfahamu umemaanisha kama kiswahili sanifu kilivyo???
Kwa hiyo unashauri jamaa azichange ili akatumie na mademu wa kichaga? Huu si ndio ubalahau u-pimbi na uzuzu wenyewe mdau anaoukataa..au hujaelewa proposal ya mleta thread.
yupo vizuri mazee,mkuu fidel anamjua,na mkuu georgie porgie anamfaham sana (KWA MUONEKANO LAKINI)
talking of bed bussiness!.........SHE IS THE BEST FOR ME.sijui wewe na mpare wako!.hehehehe
wow wow wow wow wow!TAFADHAALI MKUU.hapa tunamzungumzia mke wangu.i would need some respect
wow wow wow wow wow!TAFADHAALI MKUU.hapa tunamzungumzia mke wangu.i would need some respect
Kamanda nipo sana. Nilikuwa navuta pumzi kidogo. KYANLEMA MMAA OOMI!!!!Ruwa oko mangi....kiruuu! Kibo! Kyachakiche where are you?
Pate experience kwa Warioba, Mkapa, Salmin Amour, na viongozi wote waandamizi ambao walioa wachagga na wakadumu na ndoa safi na utajiri pia!!!!! Pia pata experience kwa wale watu wa karibu ambao wameoa wachagga. Pengine una inferiority complex problem na unashindwa ku-match nao!!! Which tribe are you?? Sooorry mzee wetu JK Nyerere ni jana tu tumekumbuka miaka kumi ya kifo chako na leo tunakutana na tatizo la ukabila hapa!!!!!
Nionavyo, kaoe kwenu. Wachaga watakupa gwaride ambalo hutaliweza, they are fighters!!!! Nitamwomba Mungu watoto wangu wa kiume waoe wachagga, hasa wa Marangu, Kilema, Mamba, Kirua Vunjo na Mwika. Rombo, Old Moshi, Kibosho na Machame reserved!!!
Na wa kike vivyo vivyo!!
Ubaguzi ndani ya ubaguzi! Nguli unasemaje mkuu?Pate experience kwa Warioba, Mkapa, Salmin Amour, na viongozi wote waandamizi ambao walioa wachagga na wakadumu na ndoa safi na utajiri pia!!!!! Pia pata experience kwa wale watu wa karibu ambao wameoa wachagga. Pengine una inferiority complex problem na unashindwa ku-match nao!!! Which tribe are you?? Sooorry mzee wetu JK Nyerere ni jana tu tumekumbuka miaka kumi ya kifo chako na leo tunakutana na tatizo la ukabila hapa!!!!!
Nionavyo, kaoe kwenu. Wachaga watakupa gwaride ambalo hutaliweza, they are fighters!!!! Nitamwomba Mungu watoto wangu wa kiume waoe wachagga, hasa wa Marangu, Kilema, Mamba, Kirua Vunjo na Mwika. Rombo, Old Moshi, Kibosho na Machame reserved!!!
Na wa kike vivyo vivyo!!
Dam shit indeed! nafikiri ww ndiye unai- mislead JF, Hapa bwana watu wana weka experiences zao wazi, including HISIA, yaani ukiangalia kinachoandikwa asilimia kubwa ni hisia na mtu anavyoamini kutokana na habari fulani.We dare to talk openly base on our believe and experience. Na kwenye sehemu kama hizi mawazo ya watu binafsi yanakuwa hayajafanyiwa scientific research kupata ulinganifu wa kitu fulani, then it either u take it or leave it.😕DAM Shit!>.........Hii JF isitumike kuwasilisha hisia binafsi za watu,......masuala ya tabia hayapimwi kwa ulinganifu ni mchakato mrefu ambao una njia mbili, ukiona mkeo au kama hivi (demu)wako anakwenda kinyume hebu jichunguze pia na wewe unatabia gani.....na ulikuwa unataka nini kwa huyo unayemwona leo ana tabia mbaya....,
mmmh!Mabinti wa kichaga bomu na hatari..wao wanachojali ni kujinufaisha wenyewe wako selfish sana. Wanakuwa na waume zao kwa sababu za manufaa yao kama kuwapeleka ng'ambo,wakunyang'anye nyumba na mali apeleke kwao etc.na ukiona wanaume wengi waliooa wanawake wa kichaga ni watumwa wa ndoa au mapenzi yao. Wengi walidanganyika na rangi za hawa wamama lakini kwa ujumla hawana malezi wala mafunzo ni bomu..Tumeona na tunaishi nao.....yes i said so!!
kwa ujumla watu wengi wanawatazama mabinti wa kichaga kwa mtazamo huo, na lisemwalo lipo jamani, though mie sijawahi kufanya utafiti huo lakini huko nilikoolewa, kuna mke mwenzangu ambye ni mchagga ana tabia zooote zinazoitwa mbaya, mkali, hana huruma, mmbeya, anaweka sana vinyongo na kila anaempitia usoni, mchoyo sana, hataki kabisa wageni kwake, ana-comand za kijeshijeshi, mkatili kwa ma-housegirl maana akikaa nae miezi 2 basi huyo binti ana matatizo makubwa kwao, n.k. n.k. nilijua ni yeye tu na tabia yake, sasa sijui ndio mkumbo wa kabila au vp? lakini pia ku generalize tabia si vema sana tuongelee mtu moja moja na tabia zake