hizo ni tabia za hao unaowajua wewe tuu,lakini wapo wachaga wengi poa,mbona kila kabila wapo watu wenye mbwembwe hizo?unajua nin kama mtu hakutaki anaweza onyesha tabia hata kama sio zake!!
naunga mkono hoja.

za kusema kweli wachaga kitandani ni kama gogo, hwajui lolote, wezi tu
Kuna watu ambao hata mambo physical kabisa wanataka ushahidi...thats hypocricy!.. Wewe unatoka sayari gani usiyejua ukatili wa wanawake wa kichaga, hasa wanaotoka Machame na sehemu zinginezo!Mimi pia nilishaathiriwa na wasichana wa hivyo kabla ya kuoa wa kwetu. Lakini pia niliachwa hoi siku moja msichana wa kimachame aliudhiwa na rafiki yake wa kiume jioni moja, akaamua kuja kwangu kulala bila hata ya kumtongoza, yani tulikuwa tunafahamiana tu mtaani! Uwongo nililala nae, si unajua kwenye ujana nguvu nyingi, na siku hiyohiyo akapata ujauzito. Ni story ndefu, lakini kimsingi ni kwamba baadhi ya wasichana wa kichaga wako HEARTLESS....si jambo la siri!
Yeye ni Mhaya.
......huu mjadala ungekuwa wa kuwajadili ''baadhi'' ya wanawake wenye tabia za namna iliyotolewa na mtoa mada hapo juu no matter ni mchaga, mluguru,mpogoro,hehe,masai,mpangwa,ngoni,sukuma,nyamwezi.etc etc etc etc....!
Si baadhi ya wanawake wa kichaga wenye matatizo hayo pekee, hata makabila mengine hayo matatizo yapo sana tu, sisi wengine hatujawahi kuwa na uhusiano na wanawake wa Kichaga lakini huko kwingine tumepata maumivu zaidi kuliko hayo unayoyaeleza hapo mkuu!
Wapo baadhi ya mashemeji zangu wa kichaga they are perfect mothers nakwambia ofcourse kuna baadhi yes kuna matatizo. Vilevile wako wanawake wa makabila mengine, wako vizuri sana kwenye familia but kuna vimeo pia huko tena ni hatari kuliko mnavyofikiria!
sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichaga sio wa kuoa. kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. na wanatumia mapenzi kama fimbo. sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai.
......huu mjadala ungekuwa wa kuwajadili ''baadhi'' ya wanawake wenye tabia za namna iliyotolewa na mtoa mada hapo juu no matter ni mchaga, mluguru,mpogoro,hehe,masai,mpangwa,ngoni,sukuma,nyamwezi.etc etc etc etc....!
Si baadhi ya wanawake wa kichaga wenye matatizo hayo pekee, hata makabila mengine hayo matatizo yapo sana tu, sisi wengine hatujawahi kuwa na uhusiano na wanawake wa Kichaga lakini huko kwingine tumepata maumivu zaidi kuliko hayo unayoyaeleza hapo mkuu!
Wapo baadhi ya mashemeji zangu wa kichaga they are perfect mothers nakwambia ofcourse kuna baadhi yes kuna matatizo. Vilevile wako wanawake wa makabila mengine, wako vizuri sana kwenye familia but kuna vimeo pia huko tena ni hatari kuliko mnavyofikiria!
Nawapa BIG UP dada zangu wa kichagga!! mko juu....nyie ni wanawake wa shoka!! sihitaji takwimu wala nini, ushahidi huu hapa JF! midume kibao humu inalalama juu ya wanawake wa kichagga, si ajabu utakuta ni mijibaba ambayo kimtizamo inaonekana kutisha lakini wanakiri udhaifu wao bila kushurutishwa kuwa nyie dada/mama zangu mmewazidi na hawawezi!hongereni sana! vyasaka hawa wanadhani mapenzi ndio ishu kwetu..kwetu pesa na maisha bora kwanza! mambo ya kitandani hadithi nyingine...kwanza si lazima, jianaume kama ni goi goi kutafuta uling'anganie la nini? kisa mapenzi!! kiruuuu, woi leka naiyo! dada zangu kazeni buti, msipoteze loose opportunity hizi.. ngoja tuendelee kusoma vilio vya hawa watu....
......huu mjadala ungekuwa wa kuwajadili ''baadhi'' ya wanawake wenye tabia za namna iliyotolewa na mtoa mada hapo juu no matter ni mchaga, mluguru,mpogoro,hehe,masai,mpangwa,ngoni,sukuma,nyamwezi.etc etc etc etc....!
Si baadhi ya wanawake wa kichaga wenye matatizo hayo pekee, hata makabila mengine hayo matatizo yapo sana tu, sisi wengine hatujawahi kuwa na uhusiano na wanawake wa Kichaga lakini huko kwingine tumepata maumivu zaidi kuliko hayo unayoyaeleza hapo mkuu!
Wapo baadhi ya mashemeji zangu wa kichaga they are perfect mothers nakwambia ofcourse kuna baadhi yes kuna matatizo. Vilevile wako wanawake wa makabila mengine, wako vizuri sana kwenye familia but kuna vimeo pia huko tena ni hatari kuliko mnavyofikiria!
If you can't resist the heat quit the kitchen. However , kama wewe unatamani sana kuona demu wa Kichaga kwa raha zako au vijisababu vyako vingine lazima ujue yafuatayo.
1. Wao ndio wanaongoza kwa shule (education ) Tanzania hii. Demu wa
form 4 Chagga huwezi kumlinganisha na demu wa Kimakonde same
level.
2. Kutokana na hapo juu wana mtizamo tofauti wa maisha na hao
waliotajwa..Nyamwezi, Sukuma , Gogos, makondes etc
3.Ni watu wasioshabikia failure by any standard. If you are a failure do'nt
even try a short kiss with a Chagga lady.
4. Huko kwao wanafaiti kuondoa vyoo vya shimo na sio kujenga vyoo vya
kama walivyo makabila mengi. If you want evidence , visit rural Kil.
areas.
Hebu jiangalie wewe, kama kwenu hamna hata choo cha shimo --- mtakuwaje compatible na huyu? Ni kama mman'gati wwa kijijini kuoa demu wa kizungu Mwingereza. Haa ha haaaaaaaaa
My take. aliyeleta mada hii ana inferiority complex kuhusu Chagas. He could be one of the failures who Chagga ladies just do not bother mix with.
Jitahidi kuondoa weakness zako na utampata your favaourite Chaga baby just like Mkapas, Sumaes, etc etc . who prima facie are non chagas . Finito.
Wapo baadhi ya mashemeji zangu wa kichaga they are perfect mothers[/B] nakwambia ofcourse kuna baadhi yes kuna matatizo. Vilevile wako wanawake wa makabila mengine, wako vizuri sana kwenye familia but kuna vimeo pia huko tena ni hatari kuliko mnavyofikiria!
Hiyo ni generalization sana...siyo kweli ...my wife ni mchaga, my mother ni mchagga sijaona tatizo for years acheni blablah...tabia mbaya ni mtu wala si kabila...umbea mtupu