Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #101
ndo nimenunua na popcorn zangu kabisaaaaa, sijui nivae na miwani ya 3D?nisome hapo juu dada mkubwa!
neno mwalimu limemkatiza babu usingizi
uzuri mimi na babu huwa hatuzuriani!
ataniambia tu ilikuwaje!we subiri
mi sijaliona mlongo, hebu lirudie hapa
ngoja na mimi nibadili profession....
inakubalika muuzeye humu?
wasi wasi wako tu babu!Sasa wewe nawe....unajilipua kwa watu ambao hata kurudisha pass hawawezi??
Ungeangalia kushoto na kulia kabla ya kupoteza golden chance bwana...
Babu DC!!
ha haaaa, babu kuna mambo mawiliWewe tena unayeogopa hata kutaniwa ...lol??
Baki na huo mchuma wako hata kama ni wa 1947......
Babu DC!!
nisome hapo juu dada mkubwa!
neno mwalimu limemkatiza babu usingizi
uzuri mimi na babu huwa hatuzuriani!
ataniambia tu ilikuwaje!we subiri
mi ndo hapo!unaponiuzi zaidWewe tena unayeogopa hata kutaniwa ...lol??
Baki na huo mchuma wako hata kama ni wa 1947......
Babu DC!!
ile topic ya kusogeza goli iliishiaje? The Boss naomba jibu tafadhali maana huyu mdogo wangu sijui anaogopa fimbo toka kwa dada mkubwa, lol!wasi wasi wako tu babu!
af mi unaniuziga saa nyingne!
sa si ufunge tuu mi nishakusogezea mpka golini af kipa kashashangilia kuwa mpira offside!
kimisingi nilhashasogeza goli!
wasi wasi wako tu babu!
af mi unaniuziga saa nyingne!
sa si ufunge tuu mi nishakusogezea mpka golini af kipa kashashangilia kuwa mpira offside!
kimisingi nilhashasogeza goli!
mtu na babu yake mi nawaangalia tu na story zenu, lol!mi ndo hapo!unaponiuzi zaid
umeona amabvyo nilikuwa nishamaliza uwanja mzima mwenywe!kitu kilikuwa dk ya 87 af wa timu pinzani washanyanyuka vitini!kipa mwenywe alikuwa ashavua gloves hata refa na kamisaa ashastopisha saa yake!
we unaanza kuchukua mpira kuweka begani!
ah!
si la naniiiiii Kaizer baba uliridhika na lile jibu la dada mkubwa?
sasa unaenda wapi na popcorn tulishanunua?Wajukuu wameshalala bwana....
Nikaona nichungulie kiduchu...
Ila mhhhh....naona mnanifukuza .....
Endeleeni ila msiruhusu kuwepo na casuality yeyote!
Babu DC!!
ha haaaaa, tumeshikwa tukashikamana, lol!
ahahahahhahahaha babu eti ansema yeye ni less of use!
Uwiii!
Mtume simama shetwani apite!
sasa unaenda wapi na popcorn tulishanunua?
yaani tupate hasara hivi hivi, lol!
ha haaaa, nimekupata mkubwa mwenzangu, lol!Mkubwa mwenzangu na wewe umejifunza lini uchokozi??
Umesahau kuwa wale wa 1947 kuna mambo mengine tunaondoka nayo bila kumwambia mtu.....
Nitafute siku nyingine nikuchungulishe hiyo movie..
Babu DC!!