Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #41
ha haaa, hiyo ipo sanaLkn hiyo si hata hapa TZ ipo; kijana anasema "mimi ni mvulana mwenye miaka 29"
Hata kwenye apps wanaandika "I a girl who is 24 years old" au akijitahidi sana atasema "I am a young man aged 32 years old" anasahau kuwa ni kazi ya msomaji kudetermine whether you are young or not, weka age yako inatosha.
umeona eeeenh! nina akili sana mimi basi tu!mtuhuhumiwa wetu aliniwahi mapema!ningekuwa
waziri wa jk mimi!ahahahhahha my bad!bora tu aliniwahi!
yaani nilitaka kumpigia simu mtuhumiwa sasa hivi....umeona eeeenh! nina akili sana mimi basi tu!mtuhuhumiwa wetu aliniwahi mapema!ningekuwa
waziri wa jk mimi!ahahahhahha my bad!bora tu aliniwahi!
babu kwa kuuliza maswali lol!Sasa, nani alimpiga bao mwenzake??
Ila kama babu mhhhhh....haku ya nani ningeua mtu..lol!!
Babu DC!!
babu naona na wewe unaanza kumchokoza snowhite
ahahahhahaahhaha babu mi nilitoa mfano tuuu!Inabidi kumfunga gavana.....
Nilihisi kama anataka kumtia vidole vya macho mkubwa mwenzangu....
Ila naishia hapa, ngoja niwape wajukuu zile za paukwa pakawa....
Babu DC!!
umeona enh dada mkubwa!
babu ananianza hivi hivi mi namuangalia tu hapa!
ila bora mi i had my share mapemaaaa!ahahahahahhahha ila nilikula share yangu bana wacha tu niwe mpole sa hhz!mtuhumiwa wa babu ana kesi ya kujibu i see!
We m mbeyaaaaaa
ahahahhaahhahahhahahhaha bora mimi i see kuliko ankal Mtambuzi anayejitaja ye kijana mdogo mnoa eti hata we anataka akuamkie
ahaahhahahhahhahahahah ankaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii we ni mbaayyyyyyyyyyyyyyyyyyyyaaaaah!