sasa mwali wewe sawa kamwili kadogo!mie jee!?
hawa watoto tunazaa siku hiz hawa mweee!
nzuri bana kijiupepo kwa mbaaaaali
kwani mpira umeisha?
Finito......sasa.......
:A S 39::A S 39::bounce::bounce::A S 39:
tulikuwa mimi na mkaka mwingine tunakula, tukaanza kuongelea mambo ya familia, kujijenga kifamilia na mambo kama hayo.
mwenzake akawa hana uhakika huyu kaka kaoa lini, ndo mambo yote yalipoanzia.
akawa anachanganya na kumtajia zamani kidogo, jamaa ndo akaruka akamwambia nimeoa mwaka juzi tu, unajua mimi bado ni mdogo sana, lol!
bahati nzuri tulishamaliza kula, nikainuka nikaanza zangu maana angenishitukia namshangaa
kweli mdogo wangu...
kuna sehemu nilimwaga sumu watu wasiolewe na ma-last born, hawakui hao.... kumbe sasa namharibia mdogo wangu, lol!
naenda kufuta faster, lol!
FP mpira unaanz in 15 minutes so sina wasi wasi kabisa.....na sala yako haifiki popote....lol
hivi BAK hajapata ule wimbo au anatengeneza pancha?
itakuwa BAK anasaidiamo na kuweka tumaua si unamjua alivo lover boy na yeye manake nay watoto wa kingoni walichomtenda si kidogo ati!
so anajua swag zao!
kudaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaadeki!
babu ukifika mahali pa kusahau kuweka signature ya
Babu DC
mimi mjukuu wako kipenzi huwa najua umefika wapi!mimi tuuu!wengine hawaelewei babu!sana sana nitammwambia Kaizer ,TU!
Ma General waliostaafu huwa bado wana ukakamavu ule ule waliokuwa nao jeshini ndio maana hata mitaani wanaogopwa bado...chezeya general wewe! wana ujuzi uliotukuka, hauzeeki, yaani ni seamless
rafiki acha kuungana na dogo snowhite.....
au na wewe umepoteza uaminifu kwangu siku hizi?
WAAAAAPI!
chezeya dadangu mimi wewe!
af ujue tumebaki peke yetu humu!ahahahhahahahha sijui ndo washafika getini mweh!eti BAK we ndo ulikuwa barabarani muda si mrefu uliopita hujapishana na land rover la kijani hapo nje!?
kweli FP maana kusema ukweli babu Dark City kasahau signature yake leo,.....mi nimesema mwanzoni watoto wa kingoni si wa kuchezeya, nimeona mengi....sasa hapa wala we are not re-inventing the wheel....ni kushuhudia gari likienda vizuuuri tu
Mmebarikiwa sana aiseee.... snowhite please note karibia namaliza assignment afu leo kuna mpira...
dada mkubwa hivi katika nondo zooote zile ulizonirithisha kweli ukaona hii ya kumfanya mtu asahau signatori huwezi kunimegeamo af mi kwan nataka kuiaply kwa jenerali mstaafu kwaaani hoyo najua dose yake itakuwa kubwa sana mi nataka ya kumsahaulisha mheshimiwa mtuhumiwa wangu tu japo hata jina lake kwa dak kadhaaa!mwe!
hahahahahaha........sijui BAK anachagua CD ya kuweka......itakuwa ya Luther Vandrose "my secret love" nadhani or something like that
Siye tuendelee tuone kama watafika home....ilo landrover litakuwa na nyota mbili
mi nilidhani upo upande wangu, kumbe.....
mwacheni babu mstaafu jamani....
mtamkumbusha machungu ya kustaafu, unafikiria mwenzenu kapenda? umri ndo hauruhusu na mbaya zaidi hana say na umri...... uzee ukifika umefika.... siyo kama huyu "I am a small boy" at 30, lol!
hivi nyie mtu na mwalimu wake mna nini nami na babu?
ahahahahhahahha we humjui huyu babu!ni jenerali wa geshi la wananchi dada mkubwa!im warning yu ohhhh!
kuna mbinu shaka zulu alikuwa anaitumia kuwapiga wenzie inaitwa COW HORN TACTIC!
ukitaka kuielewa hii waangalie ng'ombe wa banyankole ndo utajua nini huyu babu anafanya!
CC Dark City
jamani jamani........
ngoja mwenyewe aje hapa uone zali lake
ahahhahhah Kaizer ujue tunamzuia dada mkubwa kutoka nje!
babu anachomeshwa mahindi tu huko!
ila poa wacha akumbushiamo!
zamani ilikuwa mzee k ndo kakaa hapo af babu anadekije rum mara kumi kumi!(hii aliisema mwenywe hapa hukuwepo tu mwanafunzi wangu uzuri mi huwa notes naziwekaga kichwani lol)
jamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno. Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy". Sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?
Mimi nimeshindwa kuelewa kwa kweli, labda wanasaikolojia akina watu8 na wengine mnaweza kunisaidia kunielewesha hapa
mlongo wangu nimechekaje sasa?
yeye aliyemwambia mimi nataka serengeti boy nani?
mimi nataka mtu wa kumwamkia bwana
Ulishaambiwa kuwa JF hakuna ruhusa ya kufungua na kutunza mafaili...sasa wewe endelea endelea,
Usijekusema kuwa babu hakukupa warning...
Babu DC!!
hiv Paloma kweli huu uzi toka unaanza we upo kimya tu af upo hapa masaa ka manne kama sio sita hiz
umeuchuna tuuu au umelaaala
FP lazima uelewe banaaa.....sisi wenyewe tunawaita "bebi", bebi i lav yu, bebi hiki bebi kile,,, ukute mkewe naye dozi ni ya bebi this bebi that. so na mwenyewe anajichukulia kama bado mbebi vilee....small boy!jamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno. Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy". Sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?
Mimi nimeshindwa kuelewa kwa kweli, labda wanasaikolojia akina watu8 na wengine mnaweza kunisaidia kunielewesha hapa
huyo ni type ya Mtambuzi kwao hata shikamoo inamnyima raha,wanapendelea totoz
ila huyo kama sio Mtambuzi huyo sijuiii!
shem wangu Mtambuzi leo unalo hapa, sijui utatokaje kwa hili?
si kaseeeeeeeeeeeeeeeeema tusimwamkie!sasa kumbe manake nini si ndo anasema kuwa yeye he is just a small boy!
wapi le petit garcon Mtambuzi waaapi !UJE UBHAELEZE NDYO VILE UKO MUDOGO!bhananibishia bhandughu!
mkuu Mtambuzi njoo jibu tuhuma huku......
hahahaha Mtambuzi leo amekuwa sample......
leo Mtambuzi atajuuta kukataa shikamoo, lol!
Bora afe hiyo njaa ya Mtambuzi kuliko aresti ini piisi
Naona mmenishupalia mtadhani nimekula vya kwenu... waja laana nyie msio na haya.....
Nilisema I hate SHIKAMOO kwa sababu kwa mila zetu ni mwiko kuamikiwa kwa salaami hiyo.... inakumbusha mambo ya kikoloni....