Teh teh teh teh! AhahahahaHvi majuzi nilikuwa navinjari maeneo fulan town.mara majaama wa chadema wakakatiza kombat zao wamachinga kuona vile waakaanza kutimua mbio wakijua ni mgambo.hlo vazi linatisha kama vile vita bwana!?
Teh teh teh teh! Ahahahaha
ndo mana bado chizi coz hujamalizia kutoa hayo magamba yako kidevuni hapoTeh teh teh teh! Ahahahaha
Hvi majuzi nilikuwa navinjari maeneo fulan town.mara majaama wa chadema wakakatiza kombat zao wamachinga kuona vile waakaanza kutimua mbio wakijua ni mgambo.hlo vazi linatisha kama vile vita bwana!?
masaburihvi majuzi nilikuwa navinjari maeneo fulan town.mara majaama wa chadema wakakatiza kombat zao wamachinga kuona vile waakaanza kutimua mbio wakijua ni mgambo.hlo vazi linatisha kama vile vita bwana!?
<br /><br />Sio laana bali ni uendawazimu.MIMI NI MWANA CDM LAKINI HUWEZINIKUTA NIMEVAA SARE ZA MGAMBO.KATI YA MAMBO YANAYOTUTIA DOA NI HILI LA MAGWANDA,HADI TUNAITWA MAJINA MABAYA YA 'MAGWANDA'.
Tunakatazwa mpaka kucheka siku mkipewa nchi si ndio mtatunyonga kabisawe mnafiki unacheka nini?
<br />Tunakatwa mpaka kucheka siku mkipewa nchi si ndio mtatunyonga
Kuna kazi!!!! Hizi ni akili za bongolala kwelikweli, na maskauti wakivaa vazi hilo linaitwaje? Marehemu Mwl Nyerere alipokuwa akilivaa katika shughuli mbalimbali za kitaifa kama kuwasha mwenge, matembezi(maandamano) ya kuunga mkono mambo kadhaa muhimu kama Azimio la Arusha, alikuwa mgambo? Tena alikuwa akitinga na kofia mzee wa watu. Hivi muasisi huyo wa CCM ni mara ngapi alionekana akivaa kimagamba? Mwenye ushahidi wa picha hiyo aitoe humu.Sio laana bali ni uendawazimu.MIMI NI MWANA CDM LAKINI HUWEZINIKUTA NIMEVAA SARE ZA MGAMBO.KATI YA MAMBO YANAYOTUTIA DOA NI HILI LA MAGWANDA,HADI TUNAITWA MAJINA MABAYA YA 'MAGWANDA'.
naona ndo umeamka,Hongera kwa kupata usingizi mchana....Eti mm CDM ,...CHADEMA MAGAMBA ..uhalisia SISIMU..
Naona umetumwa pole sana..